Recent content by Busekela

  1. B

    JamiiForums Tanzania Maonyesho ya Ubunifu UDSM yanafikirisha

    Teknolojia huibiwa,huboreshwa.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!

    Mkuu,hujaonekana jukwaani mda mrefu! Karibu sana
  3. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa Uduvi

    Tun Tunaendelea kuletata kwa oda maalumu kwa wateja wa jumla.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu; Machine zinazotengenezwa hapa nchini

    Je hizi machine zinatumia umeme au diesel?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kiwanja

    Kipo Kibaha kwa Mfipa, umbali km 4 hivi kutoka Morogoro road. Ukubwa ni mita 40 kwa 15 na bei yake ni Tsh 2.5m fixed.
  6. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni kichwa ngumu na uzalendo tu kwa CCM: Tundu Lissu anatikisa, smart na anapendwa

    TISS ndo wanaamua nani aongoze nchi sio tena wananchi kwenye sanduku la kura??
  7. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa Uduvi

    Stock iyokuwepo imekwisha, nitawataarifu mzigo mpya ukiingia.
  8. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kutoka Lindi: Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo

    Ni mwanasiasa makini sana,,mtulivu na anajua namna ya kueleza mambo magumu kwa lugha rahisi.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa Uduvi

    Nina uduvi peke yake,kuhusu kipi bora kati ya uduvi na vumbi la dagaa sina jibu la moja kwa moja,,nijuavyo vyote vinatumika kama chakura cha mifugo,kama kuna wafugaji hapa wanaweza kufafanua zaidi.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuuza Nyama (Butcher's Shop): Mambo Mbalimbali ya Kujifunza

    Wastani wa mauzo ni kg ngapi kwa siku?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa Uduvi

    Ukihitaji tunaweza kukutumia ingawa itabidi ulipie gharama za usafirishaji.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa Uduvi

    Hapana karibu na shule ya msingi liwiti
  13. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa Uduvi

    Sidhani
  14. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa Uduvi

    Asante kwa ushauri wako, tayari nimeweka picha.
  15. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa Uduvi

Back
Top Bottom