Recent content by BUSARA ZANGU

  1. BUSARA ZANGU

    JamiiForums Tanzania Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

    Hivi kwanini Mbowe kushindwa kwenye uenyekiti ndio itafsiriwe kuwa demokrasia, lakini yeye kukubalika kuwa mwenyekiti inatafsiriwa hakuna demokrasia? Kwa upande wangu mimi, naona kinachomponza Sumaye na watu wa aina yake ni yale yaliyofanywa na Lowasa. Unaweza vipi kumuamini mtu kama Sumaye...
  2. BUSARA ZANGU

    JamiiForums Tanzania Young Killer matunzo yamekubali, muziki unataka kukukataa

    Nilikuwa sijasikia huo wimbo Dah.... Ninamkubali dogo, ila kwenye huu wimbo kazingua
  3. BUSARA ZANGU

    JamiiForums Tanzania Ronaldo atimiza magoli 700

    Jamaa anaendelea kutupia tu
  4. BUSARA ZANGU

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Visingizio vya leo...... Torreira, Ozil, Laca, Bellarin wote wapo
  5. BUSARA ZANGU

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Halafu kuna watu humu wanaamini wana timu nzuri [emoji23][emoji23]
  6. BUSARA ZANGU

    JamiiForums Tanzania Ronaldo atimiza magoli 700

    Kituko cha mwaka hicho Mkuu, assists zaidi ya 200 eti ni chache Nikimwambia anitajie wachezaji wenye assist zaidi ya 200 angalau 10 tu, sijui kama atawapata
  7. BUSARA ZANGU

    JamiiForums Tanzania Ronaldo atimiza magoli 700

    Mkuu hapa ndio umemaliza kabisa
  8. BUSARA ZANGU

    JamiiForums Tanzania Ronaldo atimiza magoli 700

    Huyo Anelka au hao wengine uliowataja wamecheza ligi nyingi, je wamechukua makombe mangapi, je wamezisaidia timu zao kuchukua makombe ya kutosha? Hata Samata kacheza ligi nyingi kuliko Messi lakini Sijasema yeye ni bora kuliko Messi
  9. BUSARA ZANGU

    JamiiForums Tanzania Ronaldo atimiza magoli 700

    Hadi hela
  10. BUSARA ZANGU

    JamiiForums Tanzania Ronaldo atimiza magoli 700

    Nimepata mashaka juu uelewa wako kuhusu soka Unasema kwamba Diego Maradona hajacheza nje ya Argentina!!!! Hujui kwamba Maradona ni legend wa Napoli? Au Napoli ipo ligi moja na Bocca Juniour na River Plate? Huyo Pele mwenyewe kamalizia soka lake Marekani. Naona wewe ndio umemezeshwa story za...
  11. BUSARA ZANGU

    JamiiForums Tanzania Ronaldo atimiza magoli 700

    CR700 anakimbiza uwanjani na nje ya uwanja
  12. BUSARA ZANGU

    JamiiForums Tanzania Ronaldo atimiza magoli 700

    Okay proffesor, kumbe assist 219 ni chache Kumbe magoli 672 ni mengi kuliko 700 Ungesoma na kuelewa nilichoandika usingekuja na hii taarabu yako [emoji41][emoji41] Messi, one team player. Never prove himself outside Barca
  13. BUSARA ZANGU

    JamiiForums Tanzania Ronaldo atimiza magoli 700

    Kitu pekee Messi anachomshinda Ronaldo ni his dribbling style (ni ya kipekee) Vitu vingine vyote vilivyobaki, mnyama CR700 amemzidi
  14. BUSARA ZANGU

    JamiiForums Tanzania Ronaldo atimiza magoli 700

    Unaweza kusema takwimu za goal per match zinambeba Messi Lakini je, kucheza mechi nyingi katika kiwango cha juu, hiyo pekee sio sifa ya ziada? Je Messi anaweza kucheza kwa kiwango cha Dunia atakapokuwa ana miaka 34 kama anavyofanya mnyama CR700 kwa sasa? Hilo swali la juu wote hatuwezi...
Back
Top Bottom