Recent content by Busara Kali

  1. Busara Kali

    JamiiForums Tanzania Tunduma vs Katoro vs Kahama vs Njombe vs Dodoma

    Tunduma inafeed Zambia,Congo,Zambia na Malawi a achilia mbali wanatunduma wenyewe. Na hali ya hewa kama upo kwa Malikia Elizabeth... Tunduma ni fireeee
  2. Busara Kali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni njia gani stahiki za kubaini hidden characteristics za mchumba?

    Bro Leo unaoa dem hana pesa ...ndani ya ndoa anakuja kupata mapesa... hapo rangi zake zote utamjua
  3. Busara Kali

    JamiiForums Tanzania Tusaidiane fursa zinazopatikana Mji wa Tunduma

    Kifupi kabisa Tunduma ni Robo Kariakooo. Biashara zote zipo pale na zote ni kubwa. Mji mpka saa 5 usiku umechangamka. Kuna Baridi hivyo bia hazinywewi nje. Wakinga na wanyakyusa ndio wameshika mji. Nia ajabu hakuna wahindi. Hii inaonyesha kuna magendo mengi..wahindi ni waoga wa magendo
  4. Busara Kali

    JamiiForums Tanzania Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

    Voda haziuziki. Mbuzi kwenye gunia huyo
  5. Busara Kali

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini ndoa nyingi za nyakati hizi huwa hazidumu

    Ndoa nyingi zinavunjika kutokana na wahusika kutokuzingatia mipaka yao. Hivyo inaleta mgogoro na mahusiano kuporomoka
  6. Busara Kali

    JamiiForums Tanzania Ni namna gani naweza kufuatilia kupata Hati ya Kiwanja?

    Garama zikoje?
  7. Busara Kali

    JamiiForums Tanzania Wale tunaoanza Ujenzi 2022, Tupeane Start up Dondoo

    Hivi hizi bei za materials zitashuka????
  8. Busara Kali

    JamiiForums Tanzania Hesabu ya maisha, vipi kwa maamuzi haya nimebugi au iko poa?

    Huko site ilipo ningetumia laki 4 kwa mafuta ya gari kwenda na kurudi ofisini kwa mwezi. Na muda almost 2 hrs x2 za usafiri kuupoteza barabarani. Now nastay 5km kutoka ofisini. Kwa ukaribu huu mara chache sana natumia gari kwenda ofisini .. 3 km wife tumefungua ofisi wife anaisimamia .. 2km...
  9. Busara Kali

    JamiiForums Tanzania Hesabu ya maisha, vipi kwa maamuzi haya nimebugi au iko poa?

    Sio kitukibaya kuzidiwa akili
  10. Busara Kali

    JamiiForums Tanzania Hesabu ya maisha, vipi kwa maamuzi haya nimebugi au iko poa?

    Hujaelewka Boss
  11. Busara Kali

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania For matured only: Tuongelee home budget na financial responsibilities kwa familia kati ya mume na mke. Kwako ikoje?

    Halafu eti jamii inashangaa kwanini vijana hawaowi ....hahahaaaa. Ndio maana vijana wanadunga mimba mabinti na hawaoi wala kuishi nao.
  12. Busara Kali

    JamiiForums Tanzania NEMC: Huku Mitaani Tunateseka Kelele za Miziki Bar Zimezidi

    Lewa upate usingizi,
  13. Busara Kali

    JamiiForums Tanzania Wanasheria nisaidieni, Baba Mzazi anazidi kuuza mali

    Nawewe uza zako
Back
Top Bottom