Recent content by busamwa

  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya RAHCO

    Rahco ni wamiliki wa reli ya kati. Na trl ni waendeshaji wa biashara ya reli ya kati
  2. B

    JamiiForums Tanzania Operesheni safisha wenye vyeti feki Serikalini yaja mwezi Februari mwakani

    Kama ni hivyo waanze na mwigulu nchemba coz ni mmnyiramba lkn alichukua jina la mtu msukuma na kurudia darasa
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Kuhusu Uchaguzi wa Zanjadala - Humphrey Polepole na Ismail Jussa

    Nimeona jinsi pole pole anavyojikanyaga
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kati ya VISA na Pasport?

    Passport unaipata wizaran unapotoka na visa unaipata kweny ubaloz wa nchi unayokwenda
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kati ya VISA na Pasport?

    Passport ni kibali cha kuingia nchini na visa ni kibali cha kukaa nchini
  6. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Usafiri mzuri from Dar to Geita

    Acha ushamba wewe usafiri mzuri ni ndege tu. Achana na hayo mabasi mabovu yenye umri wa miaka 30 na masereva walevi wa milungi. Hakuna usafiri hapo. Panda ndege mpk mwanza then unachuku tax kwenda geita derever tax anaendesha unser your control
  7. B

    JamiiForums Tanzania Sherehe za mei mosi

    Rais jk ameongoza sherehe za meimos kitaifa kule mwanza na pia dk shein ameongoza kitaifa kule zanzibar. Kwakweli ninebak na utata kuhusu hili taifa nisaidieni wana jf
  8. B

    JamiiForums Tanzania Makato ya Mkopo Bank yanaumiza, Nawezaje kujitoa? Naomba ushauri

    Lipa deni lote ujitoe
  9. B

    JamiiForums Tanzania Yanga kutangaza ubingwa mapemaa

    Haya sasa jana wajeshi wamepigwa mkono. Semeni wamehongwa sh ngapi
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yanga hawataki Simba ishike nafasi ya pili

    Jaman acheni kuongea uchafu huo yaani timu ya wauza cm kkoo uikinganushe na yanga ta kimataifa. Hao wakacheze ndimu huko kanda ya ziwa washinde wapate angalau cha kujivunia
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nimrod Mkono utakuwa na jipya gani Musoma Vijijini mwaka huu?

    Mkono safari hii hapati kitu musoma vijihi hatutaki ubinafsi kma alio nao mkono
  12. B

    JamiiForums Tanzania Yanga kutangaza ubingwa mapemaa

    Mtakalia kusema wanahonga wenzenu tuko anga za kimataifa nyie kalieni mpira wa mchangani tumbafu
  13. B

    JamiiForums Tanzania Yanga kutangaza ubingwa mapemaa

    Yanga itatangaza ubingwa mapeeeema tule raha
  14. B

    JamiiForums Tanzania Anayetaka kuwa wakala wa Tigopesa, M-Pesa

    Sema bei
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    tatizo hilo tunalo wengi tafadhali fungukeni watu wengine nao tupate watoto acheni ubinafsi
Back
Top Bottom