Recent content by Burungimoo

  1. Burungimoo

    Mwanafunzi ampiga mshale wa sumu mke wa mwalimu mkuu

    R.I.P shemeji na pole sana Mwalimu Mkuu.
  2. Burungimoo

    Mwanafunzi ampiga mshale wa sumu mke wa mwalimu mkuu

    Siyo wilaya Nchemba,bali ni Wilaya ya CHEMBA-DODOMA
  3. Burungimoo

    TANZIA: M/kiti wa chama cha waandishi wa habari za UKIMWI afariki

    Raha ya Milele umpe ee bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie Apumke kwa Amani. Amina x 3 Adolph Simon Kivamwo wewe ni mavumbi na mavumbini utakwenda. kwa jina la baba nala mwana nala roho mtakatifu. AMINA Alikuwa rafiki yangu sana.Anazikwa wapi jamaani?
  4. Burungimoo

    Viongozi wa CHADEMA wapata ajali

    Poleni sana makamanda
  5. Burungimoo

    TABORA: Timu ya JamiiForums yapata ajali maeneo ya Mbaoni - Urambo

    Poleni sana wapendwa,Mungu awape ahueni
  6. Burungimoo

    Kesi ya Uchaguzi Kigoma Kusini Kusikilizwa Kesho

    Tupeni updates ndg wa KG. Tupo na hamu ya kujua ndg yetu sisimizi,tumbili anarudi mjengoni leo?
  7. Burungimoo

    Waziri Mpango, alipokutana na Wabunge katika nchi ya Uswidi

    "Picha inaongea kila kitu, hapo Waziri wetu wa Fedha Waziri Mpango (CCM) alipokutana na Wabunge ktk nchi ya Uswidi, kilichonivutia klk vyote ni jinsi watu walivyo busy wakiwa na kalamu na karatasi na hii ni ktk pande zote mbili yaani viongozi wetu na Waswidi! Picha kama hii zamani ilikuwa ni...
  8. Burungimoo

    Zitto: Mbowe ni Kiongozi wangu, Tusameheane

    Good start 2016
  9. Burungimoo

    Tamko: CHADEMA yalaani kukamatwa kwa Mbunge wa Ubungo Kubenea

    Jamaa wanajisahau sana nakujiona kama wana hati miliki ya nchi hii.
  10. Burungimoo

    Serikali ya Magufuli imchunguze na Mbowe, isiishie kwa Bakharesa tu

    Ikungi tulia kwanza ndipo uandike kiongozi,makosa mengi sana ya kisarufi na mantiki hayo mengine mwachie ngoso.
  11. Burungimoo

    CCM maji ya shingo huku kwa Nkamia

    Wananchi wa Chemba kataeni hila za Nkamia na mawakala wake.Nilishuhudia fedha zikimwagwa wakati wa kura za maoni kutoka kwa chama cha kijani.Tujihadhari jamani,waungeni UKAWA!:blah::blah::blah::blah: nyingi za C.C.M
  12. Burungimoo

    GE2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

    Ukawa tuwe makini yasije tokea ya Bunda huko mbeya
Back
Top Bottom