Mwanafunzi ampiga mshale wa sumu mke wa mwalimu mkuu

Hakika hiki ni kizazi kichafu kabisa, ni kizazi kibaya kuliko hata kile cha nyoka.
 
Ukitaka kumuua nyoka, ponda kichwa, asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu. Mzazi mtoto wako akikushinda usifikiri na sisi tutamuweza atakutana na mwalimu ulimwengu ( Frank) naye atamponda kichwa, ni bora umwachishe masomo asisumbue walimu.
 
mbona unataka kunikera ndugu ipo mkoa wa Singida , source Michuzi blog
hakuna wilaya hapa tz inaitwa Nchemba hilo ni jina la mtu(mwigulu nchemba) kuna wilaya MPYA inaitwa CHEMBA na haipo singida bali ipo DODOMA!
 
Mke wa Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Kelema Balai aliyeuawa kwa kupigwa mshale wa sumu na kijana ambaye mpaka sasa ametoweka hapo kijijini kutokana na ugomvi ambao umedumu kwa muda mrefu kati ya mume wa marehemu na kijana huyo anayehisiwa kutenda unyama.

Imesemekana mtuhumiwa akiwa na wenzake wawili siku ya tukio majira ya saa mbili na nusu usiku walivamia nyumbani kwa marehemu na kuanza kumshambulia kwa fimbo mume wa marehemu na kukimbizwa hospital ya jirani kabla muhisiwa hajarejea na kutekeleza unyama huo.

Mpaka sasa watu watatu wanashikiliwa na Polisi ambao ni baba wa kijana huyo kwa kuwa alishiriki katika tukio la awali la kumjeruhi Mwalimu Manyama kwa kushirikiana na kijana wake kumjeruhi kwa fimbo.

(Mwl Manyama ndiye mume wa marehemu) Watu wengine ni Mwenyekiti wa Kijiji pamoja na Mtendaji wa Kijiji. Hawa wanashikiliwa kwa amri ya Mkuu wa Wilaya baada ya maelezo yao waliyoyatoa kuhusiana na namna walivyoshughulikia tukio hili kuanzia usiku mpaka asubuhi kuto mridhisha Mkuu wa Wilaya. Kwani toka usiku wa tarehe 3 mpaka saa tatu wahisiwa walikuwepo kijijini kabla ya kutoweka na Viongozi hao hwakuwa wamechukua hatua zozote.
Hili tukio sio la leo limetokea muda kidogo, SERIKALI WANATENGENEZA VITA YA TATU YA DUNIA kati ya WALIMU Vs WANAFUNZI!

waalimu wanang'olewa meno bila ganzi na wanafunzi wao serikali inakaa kimyaaa, anaguswa mwanafunzi kidogo makeleleee mpaka dunia nzima ijue!
 
waiiii haina video wala picha so no ushaidi wa kimtandao[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
 
Battle ya mateacher vs students sasa
 
Mke wa Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Kelema Balai aliyeuawa kwa kupigwa mshale wa sumu na kijana ambaye mpaka sasa ametoweka hapo kijijini kutokana na ugomvi ambao umedumu kwa muda mrefu kati ya mume wa marehemu na kijana huyo anayehisiwa kutenda unyama.

Imesemekana mtuhumiwa akiwa na wenzake wawili siku ya tukio majira ya saa mbili na nusu usiku walivamia nyumbani kwa marehemu na kuanza kumshambulia kwa fimbo mume wa marehemu na kukimbizwa hospital ya jirani kabla muhisiwa hajarejea na kutekeleza unyama huo.

Mpaka sasa watu watatu wanashikiliwa na Polisi ambao ni baba wa kijana huyo kwa kuwa alishiriki katika tukio la awali la kumjeruhi Mwalimu Manyama kwa kushirikiana na kijana wake kumjeruhi kwa fimbo.

(Mwl Manyama ndiye mume wa marehemu) Watu wengine ni Mwenyekiti wa Kijiji pamoja na Mtendaji wa Kijiji. Hawa wanashikiliwa kwa amri ya Mkuu wa Wilaya baada ya maelezo yao waliyoyatoa kuhusiana na namna walivyoshughulikia tukio hili kuanzia usiku mpaka asubuhi kuto mridhisha Mkuu wa Wilaya. Kwani toka usiku wa tarehe 3 mpaka saa tatu wahisiwa walikuwepo kijijini kabla ya kutoweka na Viongozi hao hwakuwa wamechukua hatua zozote.
Acha kupika story.
Jina la Mwanafunzi?
Jina la Mwalimu?
Wilaya gani?jina la Mkuu wa wilay a?
Tukio limetokea lini?
Jina la Aliyeuawa?
Jina la kijiji?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
hakuna wilaya hapa tz inaitwa Nchemba hilo ni jina la mtu(mwigulu nchemba) kuna wilaya MPYA inaitwa CHEMBA na haipo singida bali ipo DODOMA!
nadhani umeelewa sasa ...mbona haukanushi na kifo cha mke wa mwalimu
 
Mjinga pekee ndiye ataona hii story ya mleta mada sababu ya kuwaonea "huruma" walimu waliotekeleza UNYAMA huko Mbeya. Mleda mada anajaribu kutengeneza "sympathy" walimu wahurumiwe, waonekane waliyoyatenda Mbeya ni sawa tu. Ndugu nataka ufahamu hakuna sababu yoyote inaweza justify uhalifu waliofanya walimu Mbeya.

Hapa hakuna uadui kati ya walimu na wanafunzi. Hapa kuna uadui kati ya haki na walimu wanaopiga wanafunzi kwa KUDHALILISHA.

Kama tukio ulilo-report ni kweli basi justice itafuata mkondo wake. Sheria msumeno.
 
hakuna wilaya hapa tz inaitwa Nchemba hilo ni jina la mtu(mwigulu nchemba) kuna wilaya MPYA inaitwa CHEMBA na haipo singida bali ipo DODOMA!
CJ2.jpg

ni kijiji gan icho kaka....tupe source ya iyo habar bas...
michuzi blog
 
Back
Top Bottom