Rachel Mashishanga, Christowaja Mtinda wahama CHADEMA na kujiunga CCM

Victoire

JF-Expert Member
Jul 4, 2008
24,385
57,585
Mashishanga.png


Leo mjini Singida katika kuadhimisha miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM, maazimisho hayo yanayofanyika mjini Singida pia yameambatana na tukio kubwa la kuwapokea waliopata kuwa wabunge wa CHADEMA ambao ni Bi Rachael Mashishanga na Christowaja Mtinda
 
Nikimkumbuka baba yake walichomfanya Morogoro sio kitu kizuri..so kurudi kwa CCM anafuata nyayo za baba yake..
 
Kwani Kabla Alikuwa Wapi!! Mashishanga Yule Aliyekuwa Kada Wa CCM ( STEVEN MASHISHANGA) NDIYE Mzazi Wake!!!?? KAMA Ni Kweli, Basi Kawaida Saana Tu!! MI Nasubiria Hao Vigogo Anaowasema Nape, Kuwa Wapo UWANJANI Hapo Kurudisha KADI Za Chadema!!! HAWA Wako Hawana Impact Yoyote Kwa Chadema / UKAWA!!!
 
Back
Top Bottom