Recent content by Burugu

  1. Burugu

    Nini tafsiri ya Megawatts 2,115 za umeme wa bwawa la Mwalimu Nyerere (Stiegler's Gorge)?

    Nikuongezee kanyama kengine,gas ikishachomwa sio kwamba matumizi yake yameisha, gas iliyochomwa hua inatumika tena kuzalisha umeme au kuchemsha maji kwa matumizi mengine itategemea na uhitaji wake, nenda tena pale kinyerezi 2 wanatumia gas turbine kufua umeme na hapo hapo gas iliyoungua...
  2. Burugu

    Nini tafsiri ya Megawatts 2,115 za umeme wa bwawa la Mwalimu Nyerere (Stiegler's Gorge)?

    Bwana mkubwa naona umejitahidi kuzunguka mbaaali lakini maswali yangu naona hujayapata vyema, hiyo gas turbine yako ambayo blade zake zinasukumwa na gas moja kwa moja zinaitwaje? kwa kukusaidia nenda,ubungo 2,kinyerezi 1 na kinyerezi 2 ukaone gas turbine inavyofanya kazi ili uondokane na dhana...
  3. Burugu

    Nini tafsiri ya Megawatts 2,115 za umeme wa bwawa la Mwalimu Nyerere (Stiegler's Gorge)?

    tupe hizo mashine zinazochoma gas mkuu ambazo ni sawa na inavyochomwa petrol, na unisaidie hizi tulizonazo ni aina gani ya turbine kitaalam na hizo unazodhani ndo gas turbine ambazo zingetufaa hebu zilielezee operation yake mtaalamu. nataka niongeze elimu kidogo kwenye hii tasnia nahisi kile...
  4. Burugu

    Ushawahi kuwa single ndani ya mahusiano?

    Hata akioa namuhakikishia hawezi pata kila siku, ila ajitahidi aoe tu awe anapimiwa mafungu makubwa makubwa kuliko sasa
  5. Burugu

    Kwa wale waliochukiwa na wake zao wanapokuwa na mimba tupeane uzoefu

    Hii kitu ni nadharia,mwanamke anaekuheshimu hawezi kukutukana matusi na hata huko kukuchukia kipindi cha mimba hawezi kukuonesha,itategemeana na wewe unaishi nae vip. Hii hali wanajiendekeza kwa kweli na wala sio hali ya kulea chamsingi sie wababa ni kuongeza ustaraabu tu kipindi ambacho mke...
  6. Burugu

    Mabeberu yameanza kutuheshimu sasa

    Ndo namshawishi aje Kisaki ili nimuoneshe fursa zilizopo hapa labda atafunguka macho na akili ambazo atajutia hata huu mda wa kuaminishwa mambo. ajitahidi aje ili aone vyote halafu akili yake akaichekeche vizuri kua hapa duniani hupaswi kua mtumwa wa fikra za mtu
  7. Burugu

    Mabeberu yameanza kutuheshimu sasa

    Njoo kisaki halafu uwaombe wahusika wakupeleke ukaone ili uje utoe ushuhuda vizuri maana naona hadithi za Ngoswe mnajitengenezea kichwani
  8. Burugu

    Mabeberu yameanza kutuheshimu sasa

    Stigler imefanyaje mzee baba maana hua mnatoa utabili mwingi mkiwa mjini huko
  9. Burugu

    Mke akikuambia mbona mme wangu hujisugui vizuri ukienda kuoga?

    unamchukua house girl tu mkuu maana ndo majukumu yake kukusugua,yeye si kasema sio housegirl wake
  10. Burugu

    Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

    Daniel Agger, Kama unataifa lako binafsi nahisi ni vyema ukaenda kuishi huko, Tanzania mama yetu hatujafikia hatua hiyo ya kuikana na kuitabilia mambo yasiokua na tija kama haya. Punguza chuki mzee hakuna taifa lililo tamu kila nchi inachangamoto zake,hata wewe hapo ulipo kuna watu...
  11. Burugu

    Mke malaya, nimfanyaje?

    kagombe, Kuna kitu umefeli juu ya huyo mwanamke,kwa hilo jibu hakika alishakutathimini kitambo na akakuweka kwenye kundi lake ambalo sizani kama unayotena thamani ya kua mume
  12. Burugu

    Nimetongozwa na kavulana kauza bucha la nyama

    Ungecheza na saikolojia yake tu huyo kijana, ili uweze kujua kwanini kathubutu kufanya hivyo kwako,inawezekana mavazi unayovaa wewe haya akisi umama ulionao ndo maana mpaka kijana kaona upo katika kundi la kufuatwa. Kabla haujamuangushia lawama huyu kijana, nafikili ni vyema pia ukajitathimini...
  13. Burugu

    Dr Rioba, uelewa wako una walakini

    W Watu mnapenda kujimwambafai, ingependeza kweli endapo ungeleta rejea yako na ukurasa husika wa kitabu ulichosoma ili kuweka usahihi wa andiko lako. Nikukumbushe tu kua Mhandisi hakukupi alama za utambuzi wa mambo kwa ufasaha, Dunia ya leo tunasimama katika uelewa wa mambo na sio taaluma...
  14. Burugu

    Ushawahi kuhisi upo single ndani ya ndoa?

    masai dada, Pole kwa mapitio hayo ndugu yetu. Mwanaume akifikia hatua hiyo hakika lazima kuna kitu anajivunia kama mbadala, na hapo hata huruma na wewe hana tena. Nakuomba utunze nyaraka zako zote za huo mkopo uliochukua kwa ajili ya kusaidiana kujenga hiyo nyumba pia kusanya risiti zote za...
  15. Burugu

    TCRA kufunga simu zisizosajiliwa ni mpango wa serikali kuwabana wale wanaotumia simu kusambaza habari za uzushi au fake news

    Nimecheka kweli,ila kuna watu mna mawazo mfu mpaka mnashangaza katika ulimwengu huu,hoja uliyoibeba ya lengo la kufungiwa laini ambazo hazijasajiliwa kwakweli umeanguka na sio kuteleza. laiti ungeju umuhimu wake natumai huo mda wa kuandika hii hoja ungeiingizia hata familia yako kipato. jitahidi...
Back
Top Bottom