Recent content by Burton86jm

  1. Burton86jm

    JamiiForums Tanzania Jinsi unavyoweza kuagiza mabelo ya mtumba kutoka China na Dubai kwa bei chee na kupata faida mara 2 au 3 zaidi

    Ila changamoto ya silent ocean ipo na kwa agents wengine mizigo inachelewa mpaka unasahau uliagiza ni nini? Miezi hadi 3?.....je? Huko kwingine kukoje?
  2. Burton86jm

    JamiiForums Tanzania Jinsi unavyoweza kuagiza mabelo ya mtumba kutoka China na Dubai kwa bei chee na kupata faida mara 2 au 3 zaidi

    Uwa si dili na mitumba ila nikupongeze sana kwa kutokuwa na roho ya choyo,Mungu akubariki utafika mbali.Uzi mzuri sana.
  3. Burton86jm

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Tunauza na kukodisha Mfumo wa kumputa wa kuendeshea pharmacy

    Ni phamacy tu??
  4. Burton86jm

    JamiiForums Tanzania Furahia tv yako na ANYCAST kwa Tsh.40,000/=

    Ndio haina haja ya smart tv ilimladi iwe na Hdmi na sehemu ya usb tu.
  5. Burton86jm

    JamiiForums Tanzania Furahia tv yako na ANYCAST kwa Tsh.40,000/=

    Teknolojia inazidi kwenda kasi,Sasa unaweza itumia tv yako kama Smartphone yako,kwa kifaa cha Adapter miracast (Anycast) kwa Tsh.40,000/= tu,ni wireless display mpaka kwenye Tv yako kwa umbali wa mita 15.Tazama hapa video ya matumizi yake. Sent from my AllCall_S1_X using JamiiForums mobile app
  6. Burton86jm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa waliowahi kutumia hizi brand za smartphone

    Unapo nunua simu unakua na interest nayo kwa viti ulivyopenda wewe umependa vigezo hivyo mi nimependa kukaa na chaji na bei yake nzuri ni nafuu sana,sasa unadhani kila mmoja unataka afanane na unachopenda wewe jamaa kauliza majina ya simu aliexpress na walio wai zitumia hiyo tecno anaijua hana...
  7. Burton86jm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa waliowahi kutumia hizi brand za smartphone

    Monkers tunawajua,ambao mnabisha bila kujua kitu.
  8. Burton86jm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa waliowahi kutumia hizi brand za smartphone

    Mi natumia All call S1 ni nzuri nimeipenda charge ni 5000mah nzuri saana aisee
  9. Burton86jm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba msada wa mpesa-mastercard

    Ipo bado bhana imejificha kwenye menu ya tuma pesa kama sijakosea. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Burton86jm

    JamiiForums Tanzania Orodha ya vitabu nilivyosoma 2018

    Mkuu hivi ni spritual books au??
  11. Burton86jm

    JamiiForums Tanzania Angalia mpira wa ulaya EPL na Laliga nyumbani buree

    Kwani mpaka sasa huduma hii ipo au baada ya sport24 kupotea nayo ikapotea?? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Burton86jm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    Hapo vipi jamani imetokea
  13. Burton86jm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

  14. Burton86jm

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Picha; Uganda hili neno "kisenge" lina maana gani kwenu?

Back
Top Bottom