Inategemeana na umbali wa sehemu yenyewe kwa maana ya kwamba ni nje ya Dar sehemu gani, na bila kusahau kiasi cha mita za kisima chako unavyotaka kichimbwe. Hivyo vyote kwa pamoja vinaweza kusaidia kutathmini bei ya gharama zote za uchimbaji kisima kwa ujumla.
-tunachimba visima virefu kwa kutumia machine maalum ya kisasa kwa uhakika na kwa bei nafuu.
-tunachimba na kukabidhi kisima ndani ya siku moja. tutakufuata popote ulipo [dar].
mobile no: 0712 452319 or 0767452319
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.