Recent content by BURTON JNR

  1. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Kondoa. Au yeyeote alietayr kuja Kondoa Dodoma
  2. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo kondoa mimi nije mpwapwa kongwa au dodoma mjini. 0657 917473
  3. B

    Diamond amechaguliwa kuwania tuzo za THE HEADIES

    Asipigiwe kura nyauuuu akaombe ccm wampigie.
  4. B

    Natafuta Mchumba

    Katika falsafa za Elimu kuna watu wa aina 3. Gold, silver and stone. Likewise hutumika kutofautisha uwezo wa akili kwa wanafunzi. Gold> hata bila mwl. Anaweza kujifunza akaelewa vzr. Silver> anahtaji msaada kidogo wa mwl ili aelewe. Stoneman>huyu uwepo wa mwl haumsaidii kwa sababu hata ukitoa...
  5. B

    Natafuta Mchumba

    Msiweweseke mimi ndie najua nilivyo. Najua ningesema nasoma PHD nna 26 na nipo kazini mngeanza kubishana. Hv v2 haviwezekani kwa Tanzania tu ila ukitoka nje kdg everythng is possible. Kama mke unaweza mpata hata msibani ijekuwa JF. I dont need your attitude because I have my own.
  6. B

    Natafuta Mchumba

    Ni mwanaume nina 26 yrs. Ninakazi yangu na maisha ya maana kabisa. Nina elimu ya juu sana nipo Morogoro nahitaji mchumba wa kuoa. Tabia haijalishi nitairekebisha mwenyewe nipo vizuri. Umri usizidi miaka 26 hata kama ana mtoto poa tu. Namba yangu ni.Ukiwa siriazi iombe nitakutumia
  7. B

    Mahojiano ya Sumaye na Tido Mhando katika kipindi cha Funguka - Azam Tv

    Magamba nyie. Tulieni mpate dawa ya ucngz. From Zero to One.
  8. B

    Mbatia LIVE Azam two...

    Anawasihi watanzania kudumisha amani iliyopo na kuwapuuza CCM kwa matamko wanayoashiria kuvunja amani ya nchi yetu. Anasema waepuke dhana inayojengwa kwa chuki ya udini ukabila na ukanda kwamba huu ni uvivu wa kufikiri kwa viongozi wa CCM
  9. B

    Naitaji kazi ya Cliaring and freight forwarding port management

    "Cliaring" ni Chakula gani au Kozi? Clearing ? Kuwa makini Kiazi ww. Kazi hupati piga kura kwa UKAWA maombi yako yatapokelewa na Mungu. Tofauti na hapo Piga mbizi Bandarini uibukie Ulaya
  10. B

    NASOMA CHUO KIKUU St. Augustine

    "Mda" ndio kitu gani ? Halafu unataka kazi . "Internate" wewe kazi hupati nyie ndio mliopitishwa na GPA za kupikwa. Halafu utakuwa mwanachama wa CCM
  11. B

    Kwa anayehitaji mwalimu wa kujitolea, napatikana

    Mimi ni Degree holder.. katika masomo ya Geography/ History. Nina experience ya miaka mitano. Natafuta shule ya secondary nijitolee kwa miaka miwili. Kwa atakayenihitaji ntampa ushirikiano.
  12. B

    Dk. Slaa ajiuzulu CHADEMA, Akasirishwa Lowassa kupokelewa bila masharti!

    Aende popote tu sisi tutabaki imara Chadema na tutaiondoa. Dr kubwaga manyanga atakuwa kajimaliza na tutamshughulikia hatuna namna nyingine. Asilazmishe kwanza asinge uzika kwa muda huu.
  13. B

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    I'm at Kondoa district secondary department. Looking for teacher to exchange with, should be from Dodoma municipal. If commited air me through 0657 917473
  14. B

    Walimu ajira mpya mpaka leo hamna mshahara

    Mshahara wa nn unataka? Ulifanya kazi vizuri? Wewe ni mtoro ndio maana hujafanyiwa mchakato wa kulipwa...
  15. B

    Hongera mbunge Kafulila wa Kigoma Kusini

    jibu zuri sana hebu tupambane na maisha. Tufanye siasa za akili na kuingiza kipato ila unamuwaza mtu anamaisha yake mazuri tu. Kwa ufupi huyo hajielewi kabisa hawezi mziua zitto kwa meseji zake
Back
Top Bottom