Recent content by Burhan urasa

  1. Burhan urasa

    JamiiForums Tanzania Wabunge Lema na Nassari watoa ushahidi wa DC na Mkurugenzi Arumeru walivyowarubuni Madiwani 10 wa CHADEMA waliohamia CCM

    Lema anasema TAKUKURU tunawapa mziki wote hahaha ..
  2. Burhan urasa

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitaongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma mpaka uzalishaji uongezeke

    Ni kweli mkuu tumekua zaidi ya mashabiki wa arsenal kuanzia sherehe za krismass zinapoisha...
  3. Burhan urasa

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitaongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma mpaka uzalishaji uongezeke

    Acha ujinga mkuu; unapoongea jaribu kuhusisha akili kabla ya mdomo kuzungumza. Haya ni maisha ya watu kama ww sio mwajiriwa ukae kimya. Waachie wenye ngoma wacheze.
  4. Burhan urasa

    JamiiForums Tanzania Mijadala ya Matatizo ya Magonjwa mbalimbali yaliyotolewa ufafanuzi

    Wakuu mimi nauliza kama naweza kupata MSAMITU kwa juice yake au unga nipo Babati. Msaada nipo seriouz
  5. Burhan urasa

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu binti anafaa kuoa kweli?

    Mkuu ni kweli lkn hawatajiskia vzr kwa hiyo kauli
  6. Burhan urasa

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu binti anafaa kuoa kweli?

    Mkuu wanaume ni wasimamizi wa wanawake, huyo mwanamke ni kumweka sawa tu kitabia kama unampenda lakini....anaweza kubadilika na akafaa kuolewa. Hakuna mtu asiebadilika kama akiwekew misingi mizuri. Kama unampenda utambadilisha na utamuoa.
  7. Burhan urasa

    JamiiForums Tanzania Shemu, mimi nitamwambia kaka hakyanani!

    Mkuu onyesha ukomavu wa akili, hiyo wiki kesho isifike nenda kwa mkeo. Huyo ukikaa nae siku mbili utakula ni sawa na mtu anaetumia muwa kama fimbo ya kutembelea utaula tu.
  8. Burhan urasa

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Kwanini Wanawake wanaongoza kuwa na majini/mapepo kwa kasi kuliko Wanaume?

    Hahahahaaa umetisha sana mkuu!!
  9. Burhan urasa

    JamiiForums Tanzania Zitto: Tumekabidhi nchi kwa washamba na malimbukeni

    Tutasubiri miaka mitano halafu tutathmini utekelezaji wa ahadi zao.
  10. Burhan urasa

    JamiiForums Tanzania Tiba za asili: Manufaa ya asali na mdalasini

    Umeipata wap chief, nipo babati now
  11. Burhan urasa

    JamiiForums Tanzania Msaada: Unga au juice ya msamitu

    Nina uhitaji wa unga au juice ya msamitu, kwa wale wenye access yake tafadhali anijibu kwa hii thread ili nimtafute nijue nitaupataje.
  12. Burhan urasa

    JamiiForums Tanzania KISUTU, DAR: Yusuf Manji afutiwa kesi ya Uhujumu uchumi

    Eti hana haja ya kuendelea nayo, kwahiyo walibahatisha sio na ndio Manji afungue kesi ya madai.
  13. Burhan urasa

    JamiiForums Tanzania Twaweza: Asilimia 98 hawaifahamu vizuri sheria ya makosa ya mtandao, 69% hawajawahi kuisikia

    Hii imekaa sawa, elimu kwanza majedwali na %badae. Asante.
  14. Burhan urasa

    JamiiForums Tanzania Twaweza: Asilimia 98 hawaifahamu vizuri sheria ya makosa ya mtandao, 69% hawajawahi kuisikia

    Kwanini watu wasipewe elimu, lakini pia bunge likapewa kazi ya kuandaa sheria hiyo badala ya kuwa na tabia za kutungia sheria vyumbani. Tanzania tumekosa heshima katika mihimili ya serikali. Huwezi jua thamani ya bunge, mahakama wala serikali.
  15. Burhan urasa

    JamiiForums Tanzania Kibiti, Pwani: Majambazi yaua Askari Polisi NANE(8)

    Poleni jamani inabid wachunguze chanzo cha hao watu kuwa na matukio ya kutisha kiasi hicho kwa kipindi chote. Ni hatari kwa wananchi.
Back
Top Bottom