Double standards! Polisi wasithubutu kufanya uzembe huo Karatu. Leo wamesema wanachotaka ni kuheshimiana. Bila hivo zitalika kwa wambulu. Wale wana msimamo sio wabantu wana damu ya kizungu!!
Nakubaliana na wewe mwenye kuleta mada turudi kuwaita viongozi ndugu badala ya waheshimiwa. Ndiyo maana wanajisahau na kujiona kama miungu wadogo. Viongozi ni watumishi wa watu. Kwa nini tunawaita waheshimiwa? Viongozi wengi wa TZ ni wezi na kwa sasa hawastahili kuitwa hivyo. Labda mpaka...
Nchi yetu nadhani tunasahau maana ya mipango. Tunaongea sana juu ya michakato lakini ukitazama sana hakuna michakato na mikakati ya kweli. Ni nini kinaanza ni madawati ama madarasa? Kuna madawati ambayo yako nje kwani hakuna madarasa! Why should this happen?????????
Jamani hiyo mzee ana kampuni. Na akifanya kazi ya serikali inabidi alipwe ili aweze kulipa wafanyakazi, kula na kulipa kodi. Ka hakalipwa B saba atawezaje kulipa kodi ya B moja? Unawezaje kusema hakuna uhusiano kati ya deni na kodi? Serikali pia iwe inalipa madeni yake.Sometimes I doubt if we...
To Sophist and Rwere,
Sidhani kama ninyi mnafuatia mazungumzo vizuri. Kinachosemwa na hitimisho la maandishi haya ni haya: Tupigane na ufisadi kweli kweli lakini hii ifanyike kwa haki na kwa kufuata sheria. Pia kutodharau democracy na kuheshimu sauti ya watu wote.
Pia tabia ya kuwaajiri wastaafu serikalini haina tija iwapo hatuiwekei sera. Wastaafu wanakuwa na faida kubwa iwapo tunawaajiri kama mentors (waonyesha njia) kwa vijana wanaoanza kazi ambao wanapoteza muda mwingi sana maofisini kabla hawajaelewa wanafanya nini. Kwa hi hii kuajiri wastaafu...
Mimi ninasikitishwa sana na haya:
1. Matumizi anbayo siyo muhimu kama kuweka wakuu lukuki wa mikoa na wilaya ambao wanakanyagana bila kazi ya kutosha. Mbona husemi mifano mizuri ya ulaya ktk jambo hili.
2. Magari makubwa sana ya kifahari kwa viongozi ambayo humeza mafuta mengi na kuchafua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.