Jamani mnaongelea December Mimi July mwaka Jana so nimetimiza mwaka na miezi nahangaika tu hapo Ubungo plaza kiukweli hii kitu inatia uchungu kazi hatukuchagua kuacha tumeachisahwa miradi haina hela tunapigwa danadana hadi unasema viongozi wetu wanajali wao kushiba
Kiukweli hii kitu imefifisha ndoto na mipango ya vijana wengi wanataka tukae kutafuta ajira hadi uzeeni. Mwaka umekatika sijapata hela na ni kuzungushwa tu so sad
Umewahi kupita toka mahaba beach hadi kambi ya jeshi?uliona vituo vingapi Vya police? Kilichopo hapo karibu na TAYOWA kina kufulu mlangoni ni mwaka sasa .Pili hebu tuombe Mungu na wewe utekwe japo kwa siku moja tuone utakavyotoka ukiwataja watekaji wako haswa unapokuwa umejua ni system sio...
Ndugu usiende na Tumaini kubwa utaishia kulia. Mimi Nina miezi tisa sasa hata kunikubalia kufungua madai wamesema nisubiri hadi July utakuwa ni mwaka kamili. Na Mimi ni mja mzito nikaomba kama naweza kupata fao la uzazi nikaambiwa hustaili mana umeacha kuchangia miezi mingi. Kiukweli nimeumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.