rr4
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,328
- 4,632
Naandika kwa masikitiko makubwa mno na nashindwa kuielewa Serikali yangu. Inakuwa sasa kama serikali ya wakoloni lakini Wakoloni weusi.
Serikali lazima itambue sisi ni binadamu ambao hata life expectancy yetu ipo chini mno kushinda Mataifa Makubwa.
Kitendo cha kumwambia mtu angoje hadi miaka 55 ndipo achukue mafao yake ni uuaji wa hali ya juu na wizi wa mchana kabisa kama ule wa RAMBIRAMBI HUKO ARUSHA na MKONO WA POLE KULE KAGERA LILIPOTOKEA TETEMEKO.
Wote tunaona wazee wa Iliyokuwa Jumuiya ya Africa Mashariki wanavyopigwa danadana.
Je sisi hiyo miaka sijui ishirini ijayo hatutapigwa danadana???
Kumbukumbu zetu zitakuwepo maana nina uelewa kuwa hatuna mfumo mzuri wa kuhifadhi Kumbukumbu kama Taifa.
Hayo Mafao yetu yatalipwa kwa thamani ya sasa au ya wakati huo??????
Haya ni mambo ambayo yanaufikirisha sana ubongo wangu na majibu hayajapatikana. Na ni dhahiri kuwa ni kweli Serikali inaelekea kufilisika hivyo wanatumia mgongo wa kubinya haki zetu ili hizo fedha zitumike kwa mambo mengine.
CHONDE CHONDE CHONDE SERIKALI YANGU NISIKILIZE KWA MAKINI:
Kuna sisi ambo toka mwanzo tuliamua kuajiriwa PRIVATE... Kwenye mashirika BINAFSI. Hatukutaka kabisa chochote cha kufanya na nyie GOVERNMENT.
Tulikwepa kipindi hicho mambo ya undugu na kujuana.
Na tulivyoajiriwa huku tulikuwa na malengo Binafsi na nitaelezea yangu kwa mfano.
MIMI BINAFSI MALENGO YANGU YALIKUWA kufanya kazi kwa muda wa miaka 10 tu halafu nijiajiri mwenyewe. Nilipiga mahesabu kuwa baada ya miaka hiyo amount yangu NSSF ingetosha kabisa:
1. KILIMO
2. UFUGAJI
3. BIASHARA YA MAZAO YA JUMLA NAREJA REJA NA VIBIASHARA VYA MADUKA YA KAWAIDA KWA AJILI YA KUENDESHA FAMILIA.
NA HAPA NIWAELEZE KABISA SERIKALI YANGU KUWA NINGEAJIRI VIJANA WASIOPUNGUA 15 KWA AJIRI YA MOJA KWA MOJA NA WENGINE WENGI KWA AJIRA ISIYO YA MOJA KWA MOJA.
Serikali yangu mmeua matumaini yangu na ninaelewa kuna wengi pia mmeua matumaini yao.
SASA BASI KWA MOYO MKUNJUFU KABISA, NINAIOMBA SERIKALI YANGU.......sisi tulio sekta binafsi msituhusishe na hizo scheme zenu za mifuko ya jamii.
SEKTA BINAFSI IRUHUSIWE kuunda mfuko wake wa kijamii tofauti na hiyo yenu. Tunajua kuwa huwa mnachota PESA nyingi mno kwenye hiyo mifuko na hamlipi. Ndio sababu haina hela.
SINA MPANGO WA KUAJIRIWA HADI NIOTE MVI. NIMESHAFANYA KAZI MIAKA 8 BADO 2 TU ILI NA MIMI NITIMIZE NDOTO YANGU YA KUWA MUAJIRI. Mtaji ni hela yangu iliyoko NSSF.
KAMA SERIKALI HATA HAMJAJIPANGA VIZURI NAMNA YA KUTOA MIKOPO KWA VIJANA WAZAWA WANAOTAKA KUJIAJIRI.... KWANINI MBANIE MAFAO YETU.
.............................................................................................................................................
Nawaomba wabunge na wanasheria makini wapeleke hii kesi hata Shirika la kazi Duniani...... Haki yetu na jasho letu linaibiwa kwa nguvu.

KAMA HAWATAKI SEKTA BINAFSI IJITENGE
1. BASI WAANZISHE KITENGO KWENYE MABENKI YAO YA SIRIKALI THEN WATUKOPESHE KWA KUTUMIA HELA ZETU KAMA COLLATERAL.
2. AU WAONGEE NA MABENKI YA KAWAIDA TURUHUSIWE KUKOPA KWA KUTUMIA HELA ZETU HUKO KWENYE MIFUKO KAMA COLLATERAL.
3. TURUHUSIWE KUKOPA AMOUNT ILE ILE ILIYOPO KWENYE MIFUKO. Mfano.. kama nina 20M then niruhusiwe kukopa 20M.
4. Ikiwezekana Tukikopa BASI Hiyo hela huko HIFADHINI ndio ilipie Marejesho. Ili Serikali iwe inaifaidi kidogo kidogo huku ikiisha. Mfano Nakopa 20M kwa 10 years, then Mfuko unakuwa unanilipia Marejesho kulingana na pesa yangu iliyoko kwao.
Lazima, SERIKALI ITENGENEZE WIN WIN SITUATION KWA HILI SUALA.
Haiwezekani tuendelee kunyonywa kiasi hiki, Ng'ombe anatoa damu bado anakamuliwa tu.
HUU NI UTUMWA.