Recent content by BUNUNGULI

  1. B

    JamiiForums Tanzania Employment Opportunities From ''WORLD VISION''

    Bora wameweka sanduku la posta
  2. B

    JamiiForums Tanzania Msaada plz, mwenye taarifa LAPF - COMPLIANCE OFFICERS posts, wameshaita interview?

    inaonekana hujui unachosema,lapf walitoa nafasi 6 za compliance officers-kama hujui basi
  3. B

    JamiiForums Tanzania Masogange awataja wamiliki wa mzigo aliokamatwa nao SA

    Habari zilizopatikana kutoka afrika kusini,zilizosemwa na agnes masogange,zinawataja wafuatao kuwa vigogo wa kubebesha watu madawa ya kulevya: 1. Juma Pinto-mmiliki wa jambo leo 2.Kinjekitile Ngombale Mwiru-mtoto wa kada...
  4. B

  5. B

    JamiiForums Tanzania Msaada plz, mwenye taarifa LAPF - COMPLIANCE OFFICERS posts, wameshaita interview?

    Huwezi kushangaa ukikuta tayar nafasi zishachukuliwa
  6. B

    JamiiForums Tanzania Career Opportunities World Vision Tanzania-192 Positions:

    Yaani kama we ni muislam hata usipoteze muda,huwa wanaangalia majina ya muombaje na siku ya interview wataomba vyeti vya ubatizo,komunio,kipaimara au vyeti vya tycs,casfeta--wanawapa uzito wa roman catholic
  7. B

    JamiiForums Tanzania Terios-ina uwezo kusafiri mwendo mrefu mtwara-- musoma?

    Jamii forum imekuwa msaada mkubwa sana,ngoja nijiandae kulipia hii terios niwe natinga nayo mpaka kijijini kwetu
  8. B

    JamiiForums Tanzania Terios-ina uwezo kusafiri mwendo mrefu mtwara-- musoma?

    ni mara mbili kwa mwaka likizo,nakwenda na kurudi
  9. B

    JamiiForums Tanzania Terios-ina uwezo kusafiri mwendo mrefu mtwara-- musoma?

    Nimepata gari aina ya terios jamaa ananiuzia,ina mwaka mmoja tangu ainunue na ameniuzia kwa milioni 6,napenda kuuliza kwa wafahamuo ubora wa gari hizi,binafsi ninategemea kuwa naitumia kwenda likizo nyumbani musoma kutoka hapa mtwara--naomba mnishauri
  10. B

    JamiiForums Tanzania Azzan: Nitajiuzulu ikibainika nauza dawa za kulevya

    Kujiuzuru haitoshi-ni sheria iseme
  11. B

    JamiiForums Tanzania Msaada plz, mwenye taarifa LAPF - COMPLIANCE OFFICERS posts, wameshaita interview?

    Bado hawajaita,mi mwenyewe niliomba pale
  12. B

    JamiiForums Tanzania Umewahi kutafuta kazi ukakutana na kitu kama hiki???

    Umejieleza vizuri sana,ningekuwa mwajiri ningekutafuta
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wassira: Atibua mitandao Urais 2015

    Kanda ya ziwa lipi unakosema wasira ana nguvu?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Chuo cha kilimo cha ilonga

    Ni pm namba yako nikupigie nikueleze mambo yote ya pale...nakifahamu sana hiki chuo kipo morogoro
Back
Top Bottom