Msaada plz, mwenye taarifa LAPF - COMPLIANCE OFFICERS posts, wameshaita interview?

Msaada plz, mwenye taarifa LAPF - COMPLIANCE OFFICERS posts, wameshaita interview?

Bravo Engliash

Senior Member
Joined
Jul 29, 2012
Posts
131
Reaction score
59
Wadau mwenye taarifa kuhusu nafasi za LAPF - COMPLIANCE OFFICERS (advertised on May 22, deadline June 06, 2013), wameshaita interview?
 
Me nadhani bado lakini tuzidi kumuomba Mungu tuwemo...Je kuhusu TRA vp?😛layball:
 
Gazeti la mwanainch tarehe 24/25 wlisema wametoa short least na terehe ya kuwapia interview kuptia kwenye webu yao cha ajabu ni kwamba nilienda kucheki nilikuta nill so cijui walimaanisha nini kwenye gazeti
 
Hata mi huwa nachek sana web yao patupu. kweli ajira tz ni mtihani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom