Katika Mahojiano na Mtangazaji wa Idhaa ya Kishwahili ya BBC Zuhura Yusus kuhusiana na Mkopo wa Benki ya Dunia , ZItto amesema ana ushahidi kuwa mkopo huo unakuja kunufaisha Vyuo vya FDC ambavyo ni mali ya CCM
Ni kweli Vyuo hivi ni mali ya CCM?
Woote, Zitto na Lissu sasa wamekuwa Mahayawani.
Hkuna mwenye upeo mkubwa hapo, Wakati Lissu anabwanwaja Zitto alikuwa ana mianya ya kupiga madili, sasa imezibwa nye anabwabwaja. Woooote hao ni Mahayawani
Selasini aliyasema hayo jana baada ya kuhojiwa na Mwandishi wa Mwananchi aliyetaka kujua kuhusu tetesi kuwa anataka kutimkia CCM.
Selasini alikuwa akihojiwa kuhusiana na kujiuzulu kwake kukaimu nafasi ya Mnadhimu Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.
"Unajua Selasini amekaimu nafasi hiyo...
Kumekuwepo na madai ya watu Mitandaoni kuwa kwanini Msajili wa Vyama anawatuhumu wafuasi wa ACT-Wazalendo kuwa ni kosa kuchoma Bendera za CUF wakati CCM waliwahi kufanya hivyo.
CCM walifanya hivyo kabla ya Sheria Mpya ya Vyama vya Siasa kutungwa. ACT-Wazlendo wamechoma juzi tu Sheria mpya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.