David Silinde alilidanganya Bunge na umma kwa ujumla kuhusu soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) kwa mwaka 2018

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,866
5,742
Tarehe 02/03/2019 Mbunge wa Momba , David Silinde wakati akichangia Taarifa ya Kamati ya Bunge alisema kuwa kwa kipindi cha Mwaka 2018 Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) lilipoteza mtaji wa Shilingi trilioni 4 na kwamba ni ishara ya Uchumi wa nchi kushuka.

Ilibidi niingie Chimbo kujua ukweli wa alichokisema Silinde na nikagundua Silinde alilidanganya Bunge na Umma kwa Ujumla kwa sababu:

1. Soko la hisa la DSE lilishuka kwa Shilingi Bilioni 599 na Siyo Trlioni 4 kama alivyoliambia Bunge
2. Siyo Tanzania tu ambayo Soko la Hisa lilishuka bali pia nchi nyingine za Afrika, mfano Soko la hisa Nairobi lilishuka kwa 15%, Nijeria kwa 19%, Misri 9%, Ghana 3% na Rwanda 5%.

3.Sababu za Masoko yote ya hisa Barani Afrika kushuka ni kwamba Wawekezaji wa nje ya nchi kubadili uelekeo wa kuwekeza kutoka masoko yanayoendelea (Nchi zinazoendelea) kwenda Masoko ya nchi zilizoendelea.

My take: Watanzania wa leo siyo wa Enzi hizo, Wabunge wasitumie nafasi za kuongea wakasikika Nchi nzima kutaka kuwahadaa wanachi kwa sababu tu wanataka kupata umaarufu wa kisiasa.
Tutangulize nchi kwanza, umaarufu wa kisiasa baabaye.
 
Na majaliwa alidanganya haya!
Kama kuna kampuni 100 zmeomba kujenga smelter ya kuchenjulia madini mpaka sasa hakuna hata kinachoendelea!

Kuna mtambo wamenunua hata ukiwa Na madawa ya kulevya ndani ya nyumba watagundua😂😂😂😂

Tuanze nae kwanza huyu mwanaccm muongo namna hii
 
Kama wenyewe wa soko la hisa wako kimya na ww kaa kimya tu
Hakuna kitu unaweza kubadilisha
 
Na majaliwa alidanganya haya!
Kama kuna kampuni 100 zmeomba kujenga smelter ya kuchenjulia madini mpaka sasa hakuna hata kinachoendelea!

Kuna mtambo wamenunua hata ukiwa Na madawa ya kulevya ndani ya nyumba watagundua😂😂😂😂

Tuanze nae kwanza huyu mwanaccm muongo namna hii
Mkuu, ni aibu kubwa sana kwa PM kuwa muongo-muongo.
 
Kumbe ni kweli DSE mwaka jana iliporomoka. Mwaka huu hali itakuwa mbaya zaidi
 
Yani nikisikia mtu anatoa hoja alafu anasema mbona fulani nae anafanya... kama hoja no.2,basi kibachozungumziwa ni cha ukweli.
Je vigezo ulivyotumia wewe na alivyotumia Mb ni sawa mpaka uconclude hivyo?
 
Hizi ndizo facts ulizoleta sasa kushuka kwa uchumi wa Kenya, Rwanda, Ugand na Burundi vina husiana nini na Soko la hisa la Dsm..? Nyau wewe unachotaka kutetea upupu tu.
 
Soko la hisa kama ilivyo DSEM linafuata nguvu ya soko, ambapo kupanda na kushuka ni sehemu ya mfumo wa soko. Kunaweza kuwa na sharp au moderate fluctuations. Huyo jamaa aweza kuwa aliexagerate tu lkn alikuwa anamaanisha kuwa mitaji ya soko la hisa ilishuka sana. Kwa bahati nzuri Masoko ya hisa duniani yanategemeana, hivyo ukiona huku kwetu mambo yanaenda alijojo, mostly hata wall street, London na Japan hali huwa vile vile, japo sio malazote. Hivyo hata tukisahihisha takwimu bado utagundua kulikuwa na kushuka kwa mitaji. It's a normal thing if it occurs in the short-term period but harmful if it persist.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe na Jinga lao na wakudadavua akili zenu za kuokoteza mmeshapoteza sifa za kutu shawishi kukubali hoja zenu
Tarehe 02/03/2019 Mbunge wa Momba , David Silinde wakati akichangia Taarifa ya Kamati ya Bunge alisema kuwa kwa kipindi cha Mwaka 2018 Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) lilipoteza mtaji wa Shilingi trilioni 4 na kwamba ni ishara ya Uchumi wa nchi kushuka.

Ilibidi niingie Chimbo kujua ukweli wa alichokisema Silinde na nikagundua Silinde alilidanganya Bunge na Umma kwa Ujumla kwa sababu:

1. Soko la hisa la DSE lilishuka kwa Shilingi Bilioni 599 na Siyo Trlioni 4 kama alivyoliambia Bunge
2. Siyo Tanzania tu ambayo Soko la Hisa lilishuka bali pia nchi nyingine za Afrika, mfano Soko la hisa Nairobi lilishuka kwa 15%, Nijeria kwa 19%, Misri 9%, Ghana 3% na Rwanda 5%.

3.Sababu za Masoko yote ya hisa Barani Afrika kushuka ni kwamba Wawekezaji wa nje ya nchi kubadili uelekeo wa kuwekeza kutoka masoko yanayoendelea (Nchi zinazoendelea) kwenda Masoko ya nchi zilizoendelea.

My take: Watanzania wa leo siyo wa Enzi hizo, Wabunge wasitumie nafasi za kuongea wakasikika Nchi nzima kutaka kuwahadaa wanachi kwa sababu tu wanataka kupata umaarufu wa kisiasa.
Tutangulize nchi kwanza, umaarufu wa kisiasa baabaye.

In God we trust
 
Nasikia mmeanza kuwapigia wahindi kuja kununua koroshow zenu mlizotuahidi mgezinunua kwa siku 2

Ungeweka hiyo bilioni 600 kwenye percentage tujue limeshuka kwa kiasi gani badala ya kuweka figure na kwingine umeweka percentage
 
Back
Top Bottom