pumba zako hizo usiyeelewa,, proof read and understand the point,, kuna sehem nimetaja w.cup? rudi kwenye post yangu soma hii sentence "huyu kavunja karibia kila record unayoijua kwenye soccer""" kijana kuwa makini unaposoma post za watu,,,, umeelewa hapo kwenye red..