Recent content by bundikalia

  1. B

    JamiiForums Tanzania JANUARY MAKAMBA,Kauli yako kwa tozo ya Tsh.1000/=hauko...

    Hivi huyu jamaa alivyoitwa jina na spika kupitisha bajeti alisema ndio au hapana? Umeme ulikatika kwetu sikuweza kujua alikataa au alikubali
  2. B

    JamiiForums Tanzania malavidavi hadi kwenye dala dala

    Mkuu tupia picha ya hilo tukio hapa tuone
  3. B

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi, viongozi wenye fikra dhaifu Tz - Jifunzeni toka Afrika Kusini

    Mkuu safi sana! Umesema kweli tena kweli tupu.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mbunge 'Sugu' afikishwa Mahakamani na Kushinda Kesi ya Kumuita Waziri Mkuu 'Mpumbavu'

    Asante kwa taarifa nzuri. LISU ukisoma hapa, sina cha kukupa ila nakuombea kwa Mungu uwe na maisha marefu, afya tele, utusaidie kuvuka kwenye hili bonde la uvuli wa mauti
  5. B

    JamiiForums Tanzania Membe: Wasiomtakia mema Rais Kikwete wananuna ujio wa Rais Obama!

    Hebu funguka kaka, sijakusoma. Elezea vizuri ikoje hii kitu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Mtakatifu Agostino ni majanga

    Sio SAUT tu, udsm, mzumbe watu wanaficha vitabu kwenye namba tofauti yeye mwenyewe ndio anajua kikowapi. Wengine wanachana zile kurasa zenye topic husika. Vyuo noma
  7. B

    JamiiForums Tanzania DPP kufuta kesi ya Iddi Simba ni dhihaka kwa raia

    Ni uamuzi wa ajabu. Hivi ametoa sababu gani?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Waliounga mkono Pinda kuitwa mpumbavu waondolewe Jamii Forum

    Biblia imeandika wanawake 5 wapumbavu walichukua taa zao bila.... Kwa akili zako za bata hilo ni tusi? As jf member ulitakiwa uanze kwa kusema nn maana ya tusi, nini maana ya mpumbavu. Usikurupuke, kawaambie wakupange upya
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hodi jf!

    Mimi ni mpya humu, nawasalimu wote. Naomba tuwe pamoja
Back
Top Bottom