That's y kwenye mkutano mmoja wa waziri mkuu PM alikuwa anaongerea maswara ya umeme Davido akaibuka na hoja ya shisha mbele ya wadau wa tanesco kumbe zero zinasumbua kichwani
Necta kila leo wanasema RAIA tutoe taarifa za watu wanaotumia vyeti visivyo vyao, kumbe nao wanafanya upuuzi!!?
Mtukufu alikuja na hoja ya watumishi wenye vyeti feti mkawa mnashangilia kumbe mlikuwa mnamuona anafanya upuuzi!!
Ila nikushukuru tu kwa kucomment matapishi
Uliktiwa ujiulize kwanza kwanini makonda alisema hataenda kujiueliza bundeni kama kama hata andikiwa wito rasmi
Halafu jiulize tena Madabida ulikuja kutafuta nini kwenye maswala serious ya kitaifa yasiyohitaji siasa. cheni kuishi kwa visasi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.