Recent content by Bunda one

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    We kigogo usiidharau 1ml eti haiwezi fanya biashara tena wengi imewatoa kimaisha sema inategemea nabusiness plan yako.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Wapi nipate msaada wa mtaji juu ya mradi wangu wa matikiti maji, no 0757494890

    Jamaa mbishi sana 4m inaweza lima heka 4 za matikiti kimasikini na ukapata super profit
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Nimependa sana ulivyo elezea ingawa inahitajika hela nyingi ila Mungu atajalia ntalima.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Wana JF naomba mniambia kilimo cha matikiti maji kwa heka moja unaweza ukavuna kiasi gani? Pia naomba kuuliza heka ya matikiti mauzo yake yanaweza kuwa kiasi gani? Msaada jamani.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani kilimo cha vitunguu

    Hivi mbegu nzuri za vitunguu ni zipi nitajie jina lake. Pia heka moja ya vitunguu hutoa gunia ngapi? Na kwa mkoa wa mara na mwanza gunia la vitunguu huuzwa kwa bei gani?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani mitishamba ya kutibu kuku wa kienyeji

    Sasa ntaanza kufuga kuku maake dah nilikuwa naogopa gharama kumbe simple tu.
  7. B

    JamiiForums Tanzania mkulima wa kitunguu zalisha mbegu yako mwenyewe kupunguza gharama

    Nimefurahi sana kijana nn changa moto ya kilimo cha.vitunguu hususani magonjwa.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Project funding sources

    Hiyo kazi mnaifanyia wapi @ mzuzu?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kazini-PCCB

    Mbona hiyo web ya takukuru haifunguki?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi leo 3/4/2014

    Asante sana kijana ajira tutapa ngoja niapply
  11. B

    JamiiForums Tanzania IKULU yawashukia Jaji Warioba na Gazeti la Raia Mwema (la Jumatano April 2, 2014)

    Tanzania.....tanzania tanzania nakupenda kwa moyo wote..... ila siwapendi viongozi wanao kudharirisha. Ikulu ni mahala pakuheshimiwa sana lakini kwasasa nipango la walanguzi hayo ni maneno gani Ikulu imetuandia ss wenye nchi tuyasome. Jiheshimuni mura.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Msahara wa NMB

    NMB pazuri kuna allowance kibao tafuteni tu ila nao wezi tu Bank ndipo sehemu yenye hela lakini wanalipa watumishi laki tano take home inauma sana bota uwe mwalimu tena unakuwa huru. Unalipwa laki tano bado haujala short. Poleni wafanyakazi NMB badilini fani.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Majibu ya PCCB

    Ni kweli bana inaudhi sana sasa utavumilia mpaka ln bora watuweke wazi.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Updates PCCB

    Naomba sana nifanikiwe kupata ajira kitaa kinachosha sehemu yenyewe bunda pana boa balaa kilimo hakuna viwanda hakuna raia ni wengi hadi tunazidi kazi zilizopo
  15. B

    JamiiForums Tanzania Bodaboda wazuri mjini Bunda

    Biashara matangazo hao vijana wameanza kujua namna yakufanya biashara na hiyo nikutokana na wingi wa boda boda mji mdogo wa bunda wilaya ya kazi. Pia ushauri wangu boda boda punguzeni mwendo kasi pia vaeni vifaa vya vinavyo takiwa kwa usalama kumbuka boda boda haina bodi ukipata ajali hakuna...
Back
Top Bottom