Recent content by buluwaya

  1. B

    JamiiForums Tanzania Huu ni utapeli au ujasiriamali?

    Wadau nimekutana na hili jambo naomba msaada kujua kama ni utapeli? au ujasiriamali. Kupata pesa kwenye mitandao wasomaji huwa lazima kubofya matangazo ya GooGle. Nimekutana na Blogu moja inaelekeza watu kubofya matangazo ya Google kwa udanganyifu kuwa ni habari, au ni picha. Nakuwekea sampuli...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na msafara wa magari 4

    Naomba kukubaliana na kila mmoja wenu wakuu. Na hasa wewe ndugu Bukwabi. Njia nzuri ni kurudia mtindo wa Kambarage, ingawa mazingira yamebadilika kiasi fulani kadri ambavyo nimesikia. Wakati ule wanasema fedha nyingi sana ilitumika kujenga mtandao wa kitengo cha intelligence. Ofisa wa Usalama...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Hii Sasa Hujuma: Serengeti Watch Wanalazimisha Njia Ndefu

    point....huyo design awe macho na bei zake maake anaweza arudishwe na michoro akijifanya anaweka cha juu
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hii Sasa Hujuma: Serengeti Watch Wanalazimisha Njia Ndefu

    mbona hapa kwambu sioni kitufe cha LIKE? kwa nini.... haya; hii yakwako nataka kuipa like!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hii Sasa Hujuma: Serengeti Watch Wanalazimisha Njia Ndefu

    Hawa wazungu wanaojiita Serengeti Watch nadhani wana ajenda ya kuhujumu uchumi wa Tanzania. Kiiila kitu kinachopendekezwa kurahisisha usafiri kati ya Mwanza na Arusha hawataki. Mimi napendekeza tuwapuuze Serengeti Watch kwa sababu nadhani wanapinga barabara na reli kati ya Arusha na Mwanza...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Minara Mipya Vodacom Sh. Mil. 220, si Uongo huu?

    DU! Hii discussion nimeipenda sana kwa kweli. Nakubaliana nawe mkuu. Lugha ya during the past few year ni lugha ya ulaghai.... Wanyooshe maelezo hawa! Na nitashangaa kama janaa wa TRA hawajaona huu uzi maana huu ni uzi wao huu.... Kodi, kodi, kodi....watulipe kosi zetu tufutulie kiwanda cha...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Minara Mipya Vodacom Sh. Mil. 220, si Uongo huu?

    mmmm....una maslahi na HTT wewe! haya majibu ya mkatomkato siyo bure haya. au ndo wewe umepewa hizo bilioni nini?! kata kidogo bas na sie tupunguze njaa.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo nini? Ameota Kinyama cheupe pembeni ya uke, hakuna maumivu

    ha ha ha ha...ile we ni mbaaaya! eti anamiliki picha ya eneo la tukio! usikute kadaunload!?
  9. B

    JamiiForums Tanzania Minara Mipya Vodacom Sh. Mil. 220, si Uongo huu?

    haha ha ha.... kuna mburula mmoja nafikiri ni modi humu Jf alibadili heading yangu mkuu. figure niliyokuwa nimeweka ni 220,000,000,000/- wapewe 11 + 11 tuone kama hawakuleta jibu 1111
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo nini? Ameota Kinyama cheupe pembeni ya uke, hakuna maumivu

    ni vizuri lakini ikaeleweka imetoka wapi. au?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tatizo nini? Ameota Kinyama cheupe pembeni ya uke, hakuna maumivu

    Hiyo ni Venereal Watts. Inatibiwa kwa kuiunguza na gesi ya hydrogen. kama ikisambaa itamsumbua sana wakati wa kuinguza na hiyo gesi. Mpe pole sana alimkubalia mtu mgonjwa kuingia pale sehemu-sehemu.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Minara Mipya Vodacom Sh. Mil. 220, si Uongo huu?

    Excellent! Vodacom Tanzania ni kampuni Tanzu ya Vodafone kupitia tawi lake lililopo Afrika ya kusini--yaani Vodafone ambayo makao yake makuu yapo London, Uingereza. Kama nimekuelewa vizuri hii Kampuni HTT yenye kuuziwa minara Tanzania ambayo ndiyo huyu Vodacom kaiuzia minara ina Makao yake makuu...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Minara Mipya Vodacom Sh. Mil. 220, si Uongo huu?

    Hii nimeipenda. Hapo sasa swali la kujiuliza hizo "second and third generation infrustrure" walizojenga kuleta gharama ya "over 1 billion dollars" ni zipi hasa? Wamejenga Kariba Dam Tanzania? Au wamepewa tenda ya ku-expand Uwanja wa Ndege JNIA? Hii kauli nina mashaka sana nayo kwa kweli...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Minara Mipya Vodacom Sh. Mil. 220, si Uongo huu?

    Figure in Zaidi ya Billioni 220 mkuu. Ndogo Hizo? Kuna modi kabadili post!
  15. B

    JamiiForums Tanzania Minara Mipya Vodacom Sh. Mil. 220, si Uongo huu?

    Huyu Mwandishi wa JamiiForum aliyehariri hii post Kenge kweli huyu. Dola Bilion Moja zinageukaje kuwa Shilingi milioni 220? Hawa waandishi wa Tanzania kenge kweli hawa.... habari yenyewe ni hii: Vodacom has invested over $1 billion in the country in building its second and third generation...
Back
Top Bottom