Huu ni utapeli au ujasiriamali?

buluwaya

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
207
45
Wadau nimekutana na hili jambo naomba msaada kujua kama ni utapeli? au ujasiriamali. Kupata pesa kwenye mitandao wasomaji huwa lazima kubofya matangazo ya GooGle. Nimekutana na Blogu moja inaelekeza watu kubofya matangazo ya Google kwa udanganyifu kuwa ni habari, au ni picha. Nakuwekea sampuli ya udanganyifu huo bila kutaja Blogu yenyewe kwa sababu za kisheria. Je huu ni ujasiriamali? au utapeli...

Untitled-1.jpg
 
Back
Top Bottom