Recent content by bullshark

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote kuhusu uwepo wa samaki mtu (Mermaid), Dragons na Vampires?

    ... Nguva(mermaid), dragon, vampire, bigfoot... They are just imagery creatures... Hakuna viumbe hivyo ndugu.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume ifikie hatua muwe na moyo wa kibinadamu jamani

    ... Ngoja nipite kwanza.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti kati ya Maruhani, Mapepo, Mashetani na Majini?

    ... Kwa nijuavyo mimi Majini ni kwenye maji, yaani bahari, maziwa, mito, mabwawa nk. Huko ndiko majini ambapo samaki na viumbe wengine huishi. Mapepo ni wingi wa upepo. Kuna pepo za kusi na kaskazi Samahani lakini... Hii ni kwa uelewa wangu.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wakati Rais Magufuli anasema "hela zipo" Tanzania yaiomba Benki ya Dunia kusaidia ujenzi wa SGR

    .. Hivi EPOCA imekufa?! Lets me remind you... Tunaweza kukosoa, kushauri... Etc. But not kutukana au kukashifu. That is an offence. Ndugu wana JF tuwe wastaarabu na wazalendo. Nawapenda. Nasubiri matusi!!
  5. B

    JamiiForums Tanzania Imani za ajabu utotoni

    Hii ya kereng'ende (dragon fly) imenikumbusha mbaaali sana. Enzi hizo tiliamini kuwa jivu la mdudu huyo mjanja sana kwa kuruka mielekeo tofauti, ukilipaka kwenye fimbo na ukamchapa nayo kabint ukapendako, basi imemaliza mchezo. Basi bwana... Baada ya jitihada zangu za siku kadhaa nilifanikiwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania January Makamba: Mzee anieleza siri juu ya mzee Nnauye, mzazi wa Nape

    Natabiri... Natabiri.. Naona nyota ya kimondo ikianguka toka mashariki na kuugua kbs na jivu lake kutawanyika juu ya nchi. Naye mfalme toka ncha ya kaskazini atamkata kichwa mfalme kijana ajiinuae dhidi yake. Kizazi chao katika medani ya siasa kitaangamia. Nao watasahailika kbs. Na mbwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania January Makamba: Mzee anieleza siri juu ya mzee Nnauye, mzazi wa Nape

    Auaye kwa upanga, atakufa kwa jambia (Bullshark 3:11)
  8. B

    JamiiForums Tanzania January Makamba: Mzee anieleza siri juu ya mzee Nnauye, mzazi wa Nape

    .... Auaye kwanza I upanga, atakufa kwa jambia... (Bullshark 3:11)
  9. B

    JamiiForums Tanzania Imani za ajabu utotoni

    Kutema mate kiganjani na kuyachapa kwa kidole pale unapotafuta kitu kilichopotea. Kule mate yatakapoelekea basi kitu chako kipo upande huo... Watoto wa siku hizi hawajui hiyo.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nguvu za Kijeshi Africa 2018: Tanzania yapitwa na Kenya na Uganda

    ... Aah wapi. Watuguse uone... Mambo ya military ni siri sana. Ila lets me assure you that.. TZ tupo vizuri kuliko ujuavyo.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mume adaiwa kumuua mke kwa kuzaa watoto wa kike

    Dunia ina maajabu... Mimi nilidhani kuwa amazaa nyumbu wa kike... Kumbe ni mtoto wa kike wa binadamu Huyu jamaa naona kwa vile majaji wapya washaapishwa... He will soon ba hanged up.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Idadi ya wanaoomba kuuza figo zao Muhimbili yaongezeka

    .. Wakianza kununua korodani nijulisheni.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Ngozi ya punda ina thamani kubwa China

    Mbayuwayu wapo ndugu. Ila naomba usije ukajaribu hiyo supu ya viota vyao Nytemare.
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ngozi ya punda ina thamani kubwa China

    ... Ndo mana nikasema mapema ndugu yangu... Vingine kwa huku Africa vyako vya kichina huwezi hata kufikiri. Mfano damu ya nyoka aina ya cobra(swila), pumbu za nguruwe, minyoo ya kukaanga.,...nk. Let me tell you one thing. Waafrika hasa wa bongo, tupo very selective kwenye chakula. Hata hao...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ngozi ya punda ina thamani kubwa China

    ... Kabisa. Wachina wanasema hivi.:..Tunakula chochote kinachotembea isipokuwa gari, chochote kinachoruka isipokuwa ndege(aeroplane), chochote kinachotambaa isipokuwa treni.
Back
Top Bottom