Alipokuwa Mkuu wa Mkoa Kagera, siku moja asubuhi sana alifika kwenye shule ya sekondari Rutabo, Kamachumu Muleba, alikuta wanafunzi na walimu wao wapo kweye morning parade. Akasimamisha gari akawaangalia, walipongia darasani, akaondoka bila hata kumsalimia mtu. Siku hiyo ilikuwa kivumbi, maana...