Usemacho ni kweli lakini Katikati ya mipango yetu Mimi nipambane na Nyumba basi.Na pia Mimi mwenyewe Nina Gari yangu.Lakini kweli swala la kuuza Gari bila kunishirikisha huwa niswala linalo nitafuna Sana.Na pia Ile Gari niliagiza Mimi Kwa Account zangu na pia pesa hakutoa zote Japo Asilimia...
We Acha kufikiria kupitia Kalio... Mwanaume anahitaji kuheshimiwa na mwanamke regardless Hana au anacho.Kwenda kinyume ni hatari Sana Kwa mwanamke huyo.Na nimaandiko.Au kwakuwa umempata low level mindset basi unaona umemaliza shida
Pasi nashaka wewe ni mhanga kama Mimi...
Wakwangu anakazi akanunua Gari lake wakati Mimi napambana na ujenzi.
Siku iso eleweka sikuliona lile Gari nilivyo muuliza akanijibu Gari lako au Langu
Pia umenioa Mimi ama Mshahara wangu.
41.Usitembee na mkewamtu narudia tena usitembe na mke wa mtu.
43.Usijifanye we wamuhimu Sana kwenye Office yoyote iwe ya Uma ama Serikalini.Replacement yako ni chap ukifa ama Kufukuzia.
44.Epuka kutazama video za Ngono zitakuua Akili na Nguvu.Sema No Porn no addicted.
45.Hakikisha unajiwekeza...
Sijali kama ana Kesi ama lah...ila kale kabinti kanashida kweli maana naskia kuna mtu anatumikia kifungo Jela cha miaka 30 Kwa ajili ya Kesi za hivi.
Sasa nawaza zile Mil 10 alizo Rudisha heheh
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.