Recent content by Buli Cheka

  1. Buli Cheka

    JamiiForums Tanzania Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

    Baki na mumeo unachotakiwa kuwa nacho ni "SUBRA" hakuna zaidi, Wanaume ndio sisi kwakweli huyo jamaa anataka Mapenzi tena ya muda mfupi. Sasa ukitaka kusadikisha hilo dai talaka (mfano) halafu uwone jamaa atakuowa yeye, hakika hatokuwa na muda kwako na mumeo ashakuacha..... Hapo sasa itabaki...
  2. Buli Cheka

    JamiiForums Tanzania Kwanini funguo za gari zipo mkononi muda wote?

    Sio ushamba ila ni utaratibu wa mtu mwenyewe alivojiwekea. Je! Ikiwa ni ushamba kuna na wale wanao fungasha cm kwenye viuno kutumia mkanda wa suruali wale nao tuwaweke kundi lipi
  3. Buli Cheka

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Hakuna asiye daiwa na Tumbo
  4. Buli Cheka

    JamiiForums Tanzania Swali la kizushi

    Wahusika wa wakuu washajibu kuwa wapo
  5. Buli Cheka

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    !
  6. Buli Cheka

    JamiiForums Tanzania Hadithi nzuri inayofundisha kitu ndani yake

    Safi sanaaaaa. Wewe mtu ambae unakipaji cha aina yake, Heko mkuu
Back
Top Bottom