AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,041
Habari wakuu! Nahitaji motherboard ya Samsung J7 za 2016, kama kuna mtu anayo aniPM tuongee bei.
Mmmhhhh ni ngumu ila utapata tu maana walo wengi zikipasuka wanaziweka ndani kwa kuogopa bei ya viooHabari wakuu! Nahitaji motherboard ya Samsung J7 za 2016, kama kuna mtu anayo aniPM tuongee bei.