Recent content by buldhead

  1. buldhead

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje? Naona mtihani huu

    Mtu kusema hana sometimes haimaanishi kwamba hana kabisa,anayo ila ina budget nyingine so ni sawa na hana.!Rudisha acha roho ya dizaini hyo
  2. buldhead

    JamiiForums Tanzania CPI Ripori: Tanzania ni kati ya Nchi zenye kiwango kidogo cha Rushwa Afrika, unakubaliana na hilo?

    labda kama tumehonga tusionekane kwenye list ya kwanza 😂
  3. buldhead

    JamiiForums Tanzania Jamaa yangu ananitesa kisa alinitafutia kazi, ni haki?

    😂😂😂😂
  4. buldhead

    JamiiForums Tanzania Jamaa yangu ananitesa kisa alinitafutia kazi, ni haki?

    hata ishi milele mzee atavuta tu 😂😂
  5. buldhead

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake

    wewe mbona umeshadadia kuwaaminisha watu ni kweli hayo yalifanywa?!.wewe baki na unavyoamini inatosha
  6. buldhead

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa, nimechoka! Naona haya maisha hayana faida!

    Pole sana mkuu,acha kazi nenda migodini weka malengo usipoteze matumaini utapata.!huko ndio sehem pekee nimeshuhudia watu wakipata na walianza zero kabisa kikubwa kila utakachofanya kuwa mwaminifu sana.!hakuna mkamilifu lakin kuwa mkamilifu kwenye uaminifu tu itakusaidia 100%
Back
Top Bottom