Recent content by bulb

  1. B

    Maneno ya hekima toka kwa lowassa

    Nimesoma mpaka machozi yamenidondoka kwa kweli tokea ni zaliwe sijawah kumuona na Kukutana na mtu kama Lowassa Mungu akupe nguvu na hekima baba yetu. Tu nakuombea usiku na Mchana na Mungu yu pamoja nawe hadi Ikulu
  2. B

    Nashindwa kuelewa, unyumba sipati kwa mke wangu

    Kwa ninavyojua mm na uzoefu wangu wa ndoa nikirudi nyumbani saa moja usiku biashara ya mwanamke kuchat imeisha hapo sasa ndugu wewe unamuacha mpaka usiku wa manane? Ebu jarbu kuwa serous na mke wako ndo maana anakuja anakuchezea mwanamke aliumbwa kwaajili ya mwanaume na syo mwanaume kwaajili ya...
  3. B

    Kwa waliowahi kuishi Iringa, comment hapa tafadhali

    Tosamaganga advance duh mabanzi kwa masister na maandazi kwa pora mtoto Wa mwalimu sadani alikuwa analeta kule vbamdani sema nmemkumbuka sana headmaster wetu charwe r.I.p Charwe sijawah kumuona headmaster kama yule
  4. B

    mtanzania acha kutumika

    Mungu akubariki sana mkuu unayo hekima na busara sana sisi ni ndugu wote tuache kutukanana wala kuonesha ubaguzi wowote Mungu katupa aman basi tujaribuni kuitunza hii aman tuliyopewa bura na baraka kuliko nchi yeyote duniani.
  5. B

    Lowassa must be ashamed of himself. Anna Mghwira kamzidi kutawala jukwaa!

    Kwanza mm nilikuwa sioni haja ya kumsumbua Mzee angekaa tu asubiri kuapishwa maana kazi imeshaisha siku nyingi
  6. B

    Tatizo Tanzania ni vita ya werevu na wapumbavu wengi

    Duh if we have reach in this stage its an insult let me get lost
  7. B

    Tatizo Tanzania ni vita ya werevu na wapumbavu wengi

    Kama vile sijaelewa hii post ina maanisha kitu gani?
  8. B

    Rais Huyu-mwanaume wa Ukweli

    Subirini mzee azindue yake ndo mtajua ukawa si mchezo na haina mchezo kabsaa safari hii
  9. B

    Katika kutawala jukwaa, Magufuli anaongoza dhidi ya Lowassa

    Sisi hatutaki lowassa hata azungumze chochote hata akikaa kimya kura tayari anayo.
  10. B

    Hivi lowassa akishinda waliomkata kule ccm watafichia wapi nyuso zao?

    Kama kusoma hujui hata picha huoni?kwa dalili iliyopo kuna kushindwa hapo?yeye mwenyewe kasema asubuh mambo tayari.
  11. B

    Magufuli ni chaguo bora na sahihi kwa Watanzania

    Mungu tunakuomba utupe raisi aliyechaguo kutoka kwako na si mapenzi la watanzania
  12. B

    Sumaye kutangaza hatima yake kisiasa Jumapili Agosti 16

    Mwaka huu tutaona mengi
  13. B

    UKAWA twendeni Vijijini tujihakikishie ushindi

    Kijiji ndo mbaya zaidi kulko mjini anakubalika sana
  14. B

    Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    Mm mpaka sasa hvi sielewi hawa ni watu au mafuriko ya watu
  15. B

    Kwanini CHADEMA na viongozi wenu mnatumia majukwaa kumtukana Magufuli wakati hajawai kuwatukana?

    Ndugu yangu ukifuata mambo ya siasa utakwazika bure nakushauri wewe unamjua mtu utakayepigua kura tumwombe Mungu atusaidie huu uchaguzi maana watakao umia ni sisi watu wadogo wakubwa na familia zao hata kovu hawatapata maskini ndo huwa wanaumia
Back
Top Bottom