Rais Huyu-mwanaume wa Ukweli

Rais Huyu-mwanaume wa Ukweli

Upuuzi mtupu kabisa! Hawana jipya, huwezi kuongelea haya mambo sasa hivi, Its too late!
 
Subirini mzee azindue yake ndo mtajua ukawa si mchezo na haina mchezo kabsaa safari hii
 
Kusema kweli kwa ccm hii ya majungu hili haliwezekani,ngoja wataalam wengine kama nyie,wafanye hiILi katika kuinjenga Tanzania mpya,your plan proved failures let's put contract to other intellectual side Ukawa

Busungu
 
Kwa hiyo hiyo ni orodha ya vitu vinavyomiss kwenye serikali ambayo yeye ni waziri.....tehe tehe tehe...CCM inajikanyaga
 
hv naomba kuuliza takukuru jumapili hawafanyi kazi? maana buku 5 mtaani zimetembea sana na pia UNHCR walikuwa na taarifa kuwa jangwani leo kuligeuzwa refugees camp kwa maana nimesha zoea wakimbizo ndo wanabebwa kwenye malori naomben majibu then cwez kujadili ahadi hewa kama hizo toka mwaka 95 ccm wamekuja na ahadi hizo hizo cjaona ahadi mpya labda kama walisema wanafunzi watafanyia mafunzo kwa vtendo mwezini lakn nje ya hapo nothing new

Toa vipaumbele vyako mkuu sio kulalamika tu hapana njoo na wazo mbadala tu. Unapokataa hili bas uje na plan yako usiishie kukataa tu
 
Hizo sound nilisikia miaka ya nyuma sana mtu anavyo mdanganya mwanamke utasikia nitakujengea nyumba mara nitakunulia gari hizo habari awe anawaambia mahawala zake. Siasa za kitoto ambazo walikuwa wanafanya miaka 90 leo haziwezi kuwasaidia saizi dunia imeendelea.
 
Toa yako mkuu sio upuuzi lete hoja sasa. Unapolalamika unaonesha huna hoja.
 
Hizo sound nilisikia miaka ya nyuma sana mtu anavyo mdanganya mwanamke utasikia nitakujengea nyumba mara nitakunulia gari hizo habari awe anawaambia mahawala zake. Siasa za kitoto ambazo walikuwa wanafanya miaka 90 leo haziwezi kuwasaidia saizi dunia imeendelea.

Kwa hiyo ulijiandaa kuskia atawanunulia walimu laptop????
 
Katoa ahadi zake na vipaumbele. Ni mkakamavu na afya njema tayari kwa kazi. Hapa ni kazi tu.
Issues za JP Magufuli;
1. Umoja wa Taifa
2. Kulinda Muungano wa Tanzania.
3. Ulinzi na usalama
4. Kuheshimu mihimili ya Dola.
5. Mahakama maalum ya mafisadi na majizi

5. Utawala bora
7. Ataheshimu mawazo yote ya kuleta maendeleo hata yakitoka upinzani
8. Ataimarisha vyombo vya usalama
9. Vita dhidi ya ubadhirifu
10. Kodi ilipwe na wote
11. Ataongeza ajira kwa kuimarisha viwanda
12. Sekta ya kilimo itaimarishwa
13. Sekta ya mifugo itaimarishwa ili iwe na tija kwa kujenga viwanda
14. Madini yatadhibitiwa ili yalete maendeleo
15. Maji yatapelekwa Vijijini na mijini
16. Zahanati kila kijiji, Hospitali ya rufaa kila mkoa, kuboresha maslahi ya wauguzi
17. Elimu bure hadi kidato cha nne, nyumba za walimu zitajengwa.
18. Wanafunzi wa vyuo vikuu, atahakikisha mikopo inakwenda mapema ili wasome
19. Kujenga hostel za mwana vyuo
20. Maslahi ya watumishi, kila mtu anayefanya kazi atapata haki yake.
21. Gesi itasimamiwa vyema ili isaidie nchi
22. Barabara zitaboreshwa, flyovers kujenga ya kwanza salander, tazara
23. Msongamano Dsm utashughulikiwa
24. Reli itajengwa upya
25. Bandari, anga zitaboreshwa
26. Maslahi ya maliasili yataboreshwa ili watalii wengi waje ili tupate pesa
27. Serikali itakuwa rafiki kwa wawekezaji wenye nia njema
28. Maslahi ya wafanyakazi yatalindwa
29. Walemavu watalindwa na haki zao zitalindwa
30. Uhuru wa Habari utalindwa na atakuwa na waandishi karibu
31. Wasanii na wanamichezo haki zao zitalindwa, kutakuwa na Mfuko maalum kwa ajili hiyo
32. Reli ya Dar itajengwa

Asante mdau, una akili sana wewe: Naona namba 5 ziko mbili lakini zote safi
5(1): Keshashindwa kuheshimu sheria kwa kuendelea na mkutano baada ya saa 12, ni vile tu.....I reserve my .....
5(2): Asisahau kitengo cha kushughulikia wanaowatengenezea wenzao ARV feki
26: Atengeneze na tembo wa bandia angalau hao watalii wasituite 'wapumbavu' watakapokuja na kukuta tembo wameisha
 
Mwenzie Kikwete aliahidi vitu vingi saana, sijui ametekeleza ngapi? Mwishoni mwa kila ahadi ni mahali alipotoa ahadi tajwa.

1.Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa - Nzega, Tabora

2.Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini

3.Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria - Igunga

4.Kulipa madeni ya chama cha Ushirika mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) - Shinyanga

5.Kumaliza migogoro ya Ardhi nchini - Dodoma

6.Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini

7.Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma

8.Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi - Kagera

9.Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi - Kagera

10.Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini

11.Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini

12.Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda - Kagera

13.Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme - Kagera

14.Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu - Kagera

15.Hukumu kwa waliopatikana na hati ya kuua albino - Mbeya

16.Kununua meli kubwa kuliko MV Bukoba - Kagera

17.Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali

18.Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika - Mwanza

19.Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalum chenye vifaa kupambana na wahalifu - Mwanza

20.Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani - Geita

21.Kulinda muungano kwa nguvu zote - Pemba

22.Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa - Morogoro

23.Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini

24.Kujenga bandari Kasanga – Rukwa
Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo - Songea

25.Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira - Mbeya

26.Kuzuia hatari ya kisiwa cha Pangani kuzama - Tanga

27.Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini - Iringa

28.Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same mpaka Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi - Dar es salaam - Same mkoani Kilimanjaro

29.Kumaliza tatizo la maji katika wilaya ya Same - Same Mjini

30.Kuboresha barabara za Igunga - Tabora

31.Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu makubwa wa walimu - Kisesa Magu

32.Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya Mjini

33.Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MHN) - Hydom Manyara

34.Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa - Musoma

35.Kulinda haki za walemavu - Makete

36.Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami,urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini

37.Kujenga barabara Musoma – Mto wa Mbu Arusha - Arusha

38.Kuanzisha jimbo la Ulyankulu- Shinyanga Mjini

39.Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma – Kaliua,Tabora

40.Kukarabati barabara ya Arusha Moshi - Arusha Mjini

41.Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa, mpaka Singida - Dodoma

42.Kuwafidia wanakijiji ng’ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 - Longido

43.Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji - Shinyanga

44.Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini

45.Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma

46.Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido - Longido

47.Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro

48.Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara

49.Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini

50.Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima. mwaka 2010-2015 - Babati vijijini

51.Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha - Iringa
52.Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika - Iringa

53.Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania - Iringa

54.Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi -Ifunda

55.Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, mkoa wa Mara

56.Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa

57.Ahadi kuisadia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii - Kibandamaiti Mjini Zanzibar

58.Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar

59.Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada - Kibandamaiti

60.Serikali kujenga upya bandari ya Mbambabay - Ruvuma

61.Ununuzi wa Meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 - Mbambabay Ruvuma

62.kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma
 
Mimi nasema Sina tatizo na Maghufuli. Tatizo ni mfumo wa ccm. True sio mgombea binafsi. Shira yetu ccm Wala sio mtu mmoja mmoja. Hata Malaika akija kwa jina LA ccm hawezi kumudu mat a Matamanio
 
Katoa ahadi zake na vipaumbele. Ni mkakamavu na afya njema tayari kwa kazi. Hapa ni kazi tu.
Issues za JP Magufuli;
1. Umoja wa Taifa
2. Kulinda Muungano wa Tanzania.
3. Ulinzi na usalama
4. Kuheshimu mihimili ya Dola.
5. Mahakama maalum ya mafisadi na majizi
5. Utawala bora
7. Ataheshimu mawazo yote ya kuleta maendeleo hata yakitoka upinzani
8. Ataimarisha vyombo vya usalama
9. Vita dhidi ya ubadhirifu
10. Kodi ilipwe na wote
11. Ataongeza ajira kwa kuimarisha viwanda
12. Sekta ya kilimo itaimarishwa
13. Sekta ya mifugo itaimarishwa ili iwe na tija kwa kujenga viwanda
14. Madini yatadhibitiwa ili yalete maendeleo
15. Maji yatapelekwa Vijijini na mijini
16. Zahanati kila kijiji, Hospitali ya rufaa kila mkoa, kuboresha maslahi ya wauguzi
17. Elimu bure hadi kidato cha nne, nyumba za walimu zitajengwa.
18. Wanafunzi wa vyuo vikuu, atahakikisha mikopo inakwenda mapema ili wasome
19. Kujenga hostel za mwana vyuo
20. Maslahi ya watumishi, kila mtu anayefanya kazi atapata haki yake.
21. Gesi itasimamiwa vyema ili isaidie nchi
22. Barabara zitaboreshwa, flyovers kujenga ya kwanza salander, tazara
23. Msongamano Dsm utashughulikiwa
24. Reli itajengwa upya
25. Bandari, anga zitaboreshwa
26. Maslahi ya maliasili yataboreshwa ili watalii wengi waje ili tupate pesa
27. Serikali itakuwa rafiki kwa wawekezaji wenye nia njema
28. Maslahi ya wafanyakazi yatalindwa
29. Walemavu watalindwa na haki zao zitalindwa
30. Uhuru wa Habari utalindwa na atakuwa na waandishi karibu
31. Wasanii na wanamichezo haki zao zitalindwa, kutakuwa na Mfuko maalum kwa ajili hiyo
32. Reli ya Dar itajengwa

Alaf mdau uliona style alioingilia pale jangwan akushukia kwenye ngazi ya ile pickup karuka kwa pemben kudhihirisha ana afya njema nimeopenda sana yani ile sanaa
 
katoa ahadi zake na vipaumbele. Ni mkakamavu na afya njema tayari kwa kazi. Hapa ni kazi tu.
Issues za jp magufuli;
1. Umoja wa taifa
2. Kulinda muungano wa tanzania.
3. Ulinzi na usalama
4. Kuheshimu mihimili ya dola.
5. Mahakama maalum ya mafisadi na majizi
5. Utawala bora
7. Ataheshimu mawazo yote ya kuleta maendeleo hata yakitoka upinzani
8. Ataimarisha vyombo vya usalama
9. Vita dhidi ya ubadhirifu
10. Kodi ilipwe na wote
11. Ataongeza ajira kwa kuimarisha viwanda
12. Sekta ya kilimo itaimarishwa
13. Sekta ya mifugo itaimarishwa ili iwe na tija kwa kujenga viwanda
14. Madini yatadhibitiwa ili yalete maendeleo
15. Maji yatapelekwa vijijini na mijini
16. Zahanati kila kijiji, hospitali ya rufaa kila mkoa, kuboresha maslahi ya wauguzi
17. Elimu bure hadi kidato cha nne, nyumba za walimu zitajengwa.
18. Wanafunzi wa vyuo vikuu, atahakikisha mikopo inakwenda mapema ili wasome
19. Kujenga hostel za mwana vyuo
20. Maslahi ya watumishi, kila mtu anayefanya kazi atapata haki yake.
21. Gesi itasimamiwa vyema ili isaidie nchi
22. Barabara zitaboreshwa, flyovers kujenga ya kwanza salander, tazara
23. Msongamano dsm utashughulikiwa
24. Reli itajengwa upya
25. Bandari, anga zitaboreshwa
26. Maslahi ya maliasili yataboreshwa ili watalii wengi waje ili tupate pesa
27. Serikali itakuwa rafiki kwa wawekezaji wenye nia njema
28. Maslahi ya wafanyakazi yatalindwa
29. Walemavu watalindwa na haki zao zitalindwa
30. Uhuru wa habari utalindwa na atakuwa na waandishi karibu
31. Wasanii na wanamichezo haki zao zitalindwa, kutakuwa na mfuko maalum kwa ajili hiyo
32. Reli ya dar itajengwa

mi nasema bora nichague jiwe kuliko chukua chako mapema ccm. Miaka yote ngojera yao ni hi hi. Huu ni upuuzi mtupu
 
Hizo sound nilisikia miaka ya nyuma sana mtu anavyo mdanganya mwanamke utasikia nitakujengea nyumba mara nitakunulia gari hizo habari awe anawaambia mahawala zake. Siasa za kitoto ambazo walikuwa wanafanya miaka 90 leo haziwezi kuwasaidia saizi dunia imeendelea.

Trh 25 Okt 2015 JPM ndo rais najua ht lowasa anajua hlo
 
Acha ujuha kama ni ulevi wa siasa uwe na adabu Tanzania hakuna ukabila wala ukanda ila mnaleta uchochzi hata asietaka siasa zenu za maji taka mnalazimisha ajibu.jibu hoja acha ku-generalize mambo be specific.
 
Katoa ahadi zake na vipaumbele. Ni mkakamavu na afya njema tayari kwa kazi. Hapa ni kazi tu.
Issues za JP Magufuli;
1. Umoja wa Taifa
2. Kulinda Muungano wa Tanzania.
3. Ulinzi na usalama
4. Kuheshimu mihimili ya Dola.
5. Mahakama maalum ya mafisadi na majizi
5. Utawala bora
7. Ataheshimu mawazo yote ya kuleta maendeleo hata yakitoka upinzani
8. Ataimarisha vyombo vya usalama
9. Vita dhidi ya ubadhirifu
10. Kodi ilipwe na wote
11. Ataongeza ajira kwa kuimarisha viwanda
12. Sekta ya kilimo itaimarishwa
13. Sekta ya mifugo itaimarishwa ili iwe na tija kwa kujenga viwanda
14. Madini yatadhibitiwa ili yalete maendeleo
15. Maji yatapelekwa Vijijini na mijini
16. Zahanati kila kijiji, Hospitali ya rufaa kila mkoa, kuboresha maslahi ya wauguzi
17. Elimu bure hadi kidato cha nne, nyumba za walimu zitajengwa.
18. Wanafunzi wa vyuo vikuu, atahakikisha mikopo inakwenda mapema ili wasome
19. Kujenga hostel za mwana vyuo
20. Maslahi ya watumishi, kila mtu anayefanya kazi atapata haki yake.
21. Gesi itasimamiwa vyema ili isaidie nchi
22. Barabara zitaboreshwa, flyovers kujenga ya kwanza salander, tazara
23. Msongamano Dsm utashughulikiwa
24. Reli itajengwa upya
25. Bandari, anga zitaboreshwa
26. Maslahi ya maliasili yataboreshwa ili watalii wengi waje ili tupate pesa
27. Serikali itakuwa rafiki kwa wawekezaji wenye nia njema
28. Maslahi ya wafanyakazi yatalindwa
29. Walemavu watalindwa na haki zao zitalindwa
30. Uhuru wa Habari utalindwa na atakuwa na waandishi karibu
31. Wasanii na wanamichezo haki zao zitalindwa, kutakuwa na Mfuko maalum kwa ajili hiyo
32. Reli ya Dar itajengwa

Naomba nielezee vipaumbele viwili
1. Kipaumbele No.4 anaposema ataheshimu miimili ya dola hapo alipo aliisha idharau mahakama kwenye ile kesi ya uchaguzi kule Igunga kwa kukataa kwenda kwa makusudi na dharau.

2. Kipaumbele No. 5 hapo in danganya Toto hizo fedha zinazotumika katika kampeni yake ni za wizi kupitia ESCROW Leo hii anajifanya kama ajui na je yeye pia si itabidi ashitakiwe kwa wizi wa billion 252 za wizara ya Ujenzi na vipi na uuzaji wa nyumba za serikali bila kusahau kulitia hasara taifa ya billion 3 kwa kukamata meri ya samaki pasipo kutumia akili?
 
Back
Top Bottom