Recent content by Bukumbi2020

  1. B

    JamiiForums Tanzania Zijue sababu 10 za wanawake walioolewa kuchepuka

    Acha hizo
  2. B

    JamiiForums Tanzania Zijue sababu 10 za wanawake walioolewa kuchepuka

    Utafiti wako ni duni sana na umebase mazingira yako tu unayojua tafiti zaidi
  3. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Benson Bagonza: Wote Hawaamini

    Acha wewe kasalishe huko mbona mawazo mepesi hivyo hiyo ni democracy
  4. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Zitto Kabwe apoteza jimbo la Kigoma Mjini

    Hukuwa na hoja mkuu za kukupa kura eti madege yampigie kura ila ulifurahisha sana hahahaha
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ubahili na Umaskini?

    Ubahili ni kitendo cha kutoa lakini uwezo wa kutoa upo ambapo umesikini huna kitu igawa unaweza kuwa na nia ya kutoa lakini huna! Hakuna uhusiano maana kutoa au kutotoa ni hurka na tabia.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza nauliza upo upande upi kisiasa?

    Kiongozi wadini kujihusisha na siasa ni mwanzo wa kuwagawa wa umini wako na wewe unaanza kuonekana kama mtu wa dunia zaidi siyo wa dini
  7. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Kinabo ambaye ni daktari bingwa wa moyo afariki dunia leo Dodoma

    Safi Sent using Jamii Forums mobile app
  8. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dkt. Kinabo ambaye ni daktari bingwa wa moyo afariki dunia leo Dodoma

    Wanacheza vipi huko kwingine wanakufa walikufa nao walicheza? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mch. Msigwa: I am not that cheap. Polepole na Gerson Msigwa siyo wasemaji wa familia

    Hiyo njama iliyopangwa na CCM kama unavyodai ili iweje kwanini hamunyeshi zile Government receipts za Mahakama kuwa mlilipa? Matokeo yake mnaonyesha Pay slip za CRDB? Bank inapokea hela wakati wowote hata sasa ukiweka hizo hela bank itazipokea! Sent using Jamii Forums mobile app
  10. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka 16 ajiua baada ya picha zake za ngono kusambaa

    Duh Sent using Jamii Forums mobile app
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Kigoma wasimama na Zitto na kutoa tamko dhidi ta Spika na Bunge

    Hao ni wazee wa msikitini tu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom