Recent content by BUKONGO

  1. B

    JamiiForums Tanzania NSSF mwisho wa waajili kulipa michango ni 30.06.2016 msituangushe sisi wahajiliwa

    Nawakilisha waajiriwa wote sisi amboa hatuko kazini tulipwe michango yetu tumekwamishwa na waajili kutopeleka michango yetu mpaka sasa wengine tunadai ya miaka mitatu nyuma. Tunaomba aliyetoa agizo afuatilie na sisi waajiliwa tutatoa ushirikiano. wengine tuko mtaani hatuna kazi tunategemea hiyo...
  2. B

    JamiiForums Tanzania NSSF kuna uzembe wa ajabu sana

    Tukiri kwa pamoja kuwa Nssf kwa sasa ni jipu linahitaji kutumbuliwa. Ccmtumbua majipu
  3. B

    JamiiForums Tanzania NSSF kuna uzembe wa ajabu sana

    Mkuu ulivosema ni sawa ila sio asilimia mia mimi mwenyewe nawapa ushirikiano lkn sasa ni 3 years nawaambia waje hawaji michango deni ni kubwa lazima mtutendee haki. Tumechoka mfano mtu akifa ghafla haki za marehemu mwajiri atazipoteza
  4. B

    JamiiForums Tanzania NSSF kuna uzembe wa ajabu sana

    Mimi ni mhasibu kampuni fulani huu ni mwaka wa tatu tunakata wafanyakazi na lkn michango bado haijapelekwa nimemuonya boss wangu juu ya hili hataki kunisikiliza nimewapigia Nssf mara kadhaa hawaji tena nawaambia ntawapa ushirikiano hawaji je tufanyeje twende kwa nani mm inaniuma sana maana inanigusa
  5. B

    JamiiForums Tanzania Lowassa atinga Tume ya Uchaguzi kupeleka malalamiko, azuiwa kuonana na viongozi

    peopleooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooos
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ahsanteni Kilimanjaro, Dar es Salaam na Arusha!

    Na mbeya pia imo katika mikoa inayojitambua mwanza vilaza tu
  7. B

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu

    viva ukawa tusimame kidete kutetea haki yetu ya msingi. Uraisi ni wa Lowasa this time. Ngoja nikae sawa kusimamia haki, mimi sijalala siku nne nalinda kura then wanaleta udanganyifu subiri.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aongea na vyombo vya habari, Amesema hatokubali matokeo ya uchaguzi mkuu

    Ngome ni pale jeshi la mlalakuwa ukitoka mwenge mataa unaenda mbele kama waenda Tegeta utaona Ngome sacccos ya jeshi ndo kuna ukumbi unaitwa Ngome.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Hongera Watanzania kwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura

    Napita tu
  10. B

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Lazima tulipe ada
  11. B

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Niko makongo juu watu ni wengi wanapiga kura kwa utulivu kabisa lazima tukalipe ada hadi chuo kikuu
  12. B

    JamiiForums Tanzania Huku Vijijini ni Lowassa tu, vipi huko Mijini?

    Hata mijini ukawa ndo habari ya mjini kila kona kulingana na ninavyozunguka mijini dar Mbeya Arusha mwanza dodoma tanga morogoro kote ni Lowasa ccm hali yao tete
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mbowe atii mamlaka awataka wanachama wake kutofanya fujo

    Amani ni muhimu mbowe kichwa anaona mbali
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kulikoni Upendo Msuya wa Chanel Ten na habari za UKAWA?

    Not professional shame upendo msuya
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ktk kuelekea uchaguzi channel ten nao wamekuwa kama star Tv kukwepa habari za Ukawa

    tatizo unabadiri channel unakuta hamna cha maana unaamua kucheki news
Back
Top Bottom