Nawakilisha waajiriwa wote sisi amboa hatuko kazini tulipwe michango yetu tumekwamishwa na waajili kutopeleka michango yetu mpaka sasa wengine tunadai ya miaka mitatu nyuma. Tunaomba aliyetoa agizo afuatilie na sisi waajiliwa tutatoa ushirikiano. wengine tuko mtaani hatuna kazi tunategemea hiyo michango tuitumie kwa ujasiliamali ili tuweze kupata kipato cha kujikimu. Tunaomba viongozi wa pension fund wote mufuatilie.