Mbowe atii mamlaka awataka wanachama wake kutofanya fujo

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,400
Reaction score
31,909
Hatimaye Mbowe akubali kutii sheria bila shuruti baada ya kusikia kauli ya Amir Jeshi mkuu Dr Jakaya Kikwete aliyoitoa siku ya kumbukumbu ya mwalimu Nyerere.

Kwenye mkutano wa Ukawa pale Mbeya Freeman Mbowe amesikika akisema na kuwaasa wanachadema kutokufanya fujo.

Ingawa kwa upande mwingine naibu katibu mkuu wa chadema na anayekaimu nafasi ya katibu mkuu amesikika huko visiwani Zanzibar akiwaambia wanaukawa wanajukumu la kulinda kura kwani viongozi hawatawalindia kura.Kauli inaonesha ombwe la uongozi na mpangilio katika chama hiko.

Nampongeza kwa kuweka amani ya nchi yetu mbele!

WanaUkawa popote mlipo sambazeni ujumbe wa Amani kwani mwenye stahili ya kulindwa ni mpiga kura na sio kura zenyewe.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Amani ni muhimu mbowe kichwa anaona mbali
 
Wewe jingalao acha uzuzu unaofanana na avatar yako........

Hivi ni lini Mbowe aliwahamasisha wafuasi wa Chadema wafanye fujo wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu?

Hivi kwa Mbowe na viongozi wengine wa Ukawa kuwasisitizia wafuasi wao kulinda kura kwa mujibu wa sheria za Tume ya uchaguzi, kwani huko ni kuhamasisha vurugu?

Mbona huwasemi wanaccm wenzio ambao matamshi yao ndiyo hasa yanayochochea vurugu hapa nchini?

Miongoni ya matamshi ambayo yametolewa na makada wakubwa kabisa wa CCM ambayo yana viashiria vya wazi vya kuleta uchochezi nchini ni kama ile iliyotolewa na Nape ambaye alisema kwa vyovyote vile ni lazima CCM ishinde uchaguzi wa mwaka huu hata kama italazimika kushinda kwa kufunga goli la mkono!

Kauli nyingine ya hatari sana ni ile iliyowahi kutamkwa na kada mwingine mkubwa wa CCM Bulembo, ambaye alidai kuwa chama chake cha CCM kiko tayari kuruhusu Ukawa wapate madiwani na wabunge, lakini haitaruhusu kwa vyovyote vile mgombea wa Ukawa kuingia Ikulu na kuwa Rais wa nchi hii!
 
Wewe jingalao acha uzuzu unaofanana na avatar yako........

Hivi ni lini Mbowe aliwahamasisha wafuasi wa Chadema wafanye fujo wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu?

Hivi kwa Mbowe na viongozi wengine wa Ukawa kuwasisitizia wafuasi wao kulinda kura kwa mujibu wa sheria za Tume ya uchaguzi, kwani huko ni kuhamasisha vurugu?

Mbona huwasemi wanaccm wenzio ambao matamshi yao ndiyo hasa yanayochochea vurugu hapa nchini?
Msikilizeni mwenyekiti wenu,ametambua umuhimu wa amani.
 
Hatimaye Mbowe akubali kutii sheria bila shuruti baada ya kusikia kauli ya Amir Jeshi mkuu Dr Jakaya Kikwete aliyoitoa siku ya kumbukumbu ya mwalimu Nyerere.

Kwenye mkutano wa Ukawa pale Mbeya Freeman Mbowe amesikika akisema na kuwaasa wanachadema kutokufanya fujo.

Nampongeza kwa kuweka amani ya nchi yetu mbele!

Ni kweli kabisa. Amewaambia wananchi watii sheria ya uchaguzi inayowaruhusu kulinda kura zao mita 200 baada ya kituo
 
CHADEMA ni chama cha kupigiwa mfano katika kuhimiza amani nchini. Mi najiuliza watu wakisimama mita 200 hofu ya Tume ni nini? Kama wanaamini mambo yao ni safi na hakuna namna yoyote ya longolongo, wanapaswa kufurahi wananchi watakapokuwa wanafurahi baada ya matokeo wakishangalia kazi nzuri ya Tume.

Hii ya kutaka kupindisha mambo ndiyo inayoongeza hofu kwa watu hata kama hakuna kibaya. Waache watu wanaopenda kubaki wabaki na wanaotaka kuondoka waondoke ila sheria zifuatwe.
 
Kuna mtu alisema Goli la mkono....mwingine akasema tutawapa kila kitu lakini siyo Ikulu...mwingine alisema wapumbavu na malofa pia wanaume wabebe mimba...yule mwingine wa kule unguja akisema hatuachi serikali kwa vikaratasi...nakumbuka hizo kama zipo zingine za pande yoyote ile ziweke.Kama mimi ninazo hizo...wale wa I.. watakiwa na nyingi zaidi.
 
Amani ni muhimu mbowe kichwa anaona mbali

Anajua Jeshi limejipanga kuwalinda wapiga kura na hivyo kulinda kura haiwezi kuwa priority zaidi ya kuwalinda wapiga kura.
 
Hatimaye Mbowe akubali kutii sheria bila shuruti baada ya kusikia kauli ya Amir Jeshi mkuu Dr Jakaya Kikwete aliyoitoa siku ya kumbukumbu ya mwalimu Nyerere.

Kwenye mkutano wa Ukawa pale Mbeya Freeman Mbowe amesikika akisema na kuwaasa wanachadema kutokufanya fujo.

Ingawa kwa upande mwingine naibu katibu mkuu wa chadema na anayekaimu nafasi ya katibu mkuu amesikika huko visiwani Zanzibar akiwaambia wanaukawa wanajukumu la kulinda kura kwani viongozi hawatawalindia kura.Kauli inaonesha ombwe la uongozi na mpangilio katika chama hiko.

Nampongeza kwa kuweka amani ya nchi yetu mbele!

WanaUkawa popote mlipo sambazeni ujumbe wa Amani kwani mwenye stahili ya kulindwa ni mpiga kura na sio kura zenyewe.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

,kulinda kura sio kufanya fujo
amesema wasifanye fujo na chadema sio chama cha fujo,lakini suala la kusubiri matokeo mita 200 kuko palepale
 
Kulinda kura kuko palepale. Kwani awali ni wapi mbowe alisema tufanye fujo
 
,kulinda kura sio kufanya fujo
amesema wasifanye fujo na chadema sio chama cha fujo,lakini suala la kusubiri matokeo mita 200 kuko palepale

Mwenyekiti hatakulinda,kazi ya kukulinda itafanywa na dola.
 
jingalao wewe ccm damu, toka lini ukawa na habari nzuri kuhusu UKAWA?
waambie ccm maji ya shingo na wanayanywa mwaka huu
 
Anajua Jeshi limejipanga kuwalinda wapiga kura na hivyo kulinda kura haiwezi kuwa priority zaidi ya kuwalinda wapiga kura.
Kulinda kura haiwezi kuwa priority zaidi ya Kuwalinda wapiga kura( jingalao 2015)
 
Last edited by a moderator:
Hatimaye Mbowe akubali kutii sheria bila shuruti baada ya kusikia kauli ya Amir Jeshi mkuu Dr Jakaya Kikwete aliyoitoa siku ya kumbukumbu ya mwalimu Nyerere.

Kwenye mkutano wa Ukawa pale Mbeya Freeman Mbowe amesikika akisema na kuwaasa wanachadema kutokufanya fujo.

Ingawa kwa upande mwingine naibu katibu mkuu wa chadema na anayekaimu nafasi ya katibu mkuu amesikika huko visiwani Zanzibar akiwaambia wanaukawa wanajukumu la kulinda kura kwani viongozi hawatawalindia kura.Kauli inaonesha ombwe la uongozi na mpangilio katika chama hiko.

Nampongeza kwa kuweka amani ya nchi yetu mbele!

WanaUkawa popote mlipo sambazeni ujumbe wa Amani kwani mwenye stahili ya kulindwa ni mpiga kura na sio kura zenyewe.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!

"Wewe gamba, hauna tofauti na kima, uliambiwa Mbowe anatishiwa nyau?" Subiri uone tar 25 Oct
 
CHADEMA ni chama cha kupigiwa mfano katika kuhimiza amani nchini. Mi najiuliza watu wakisimama mita 200 hofu ya Tume ni nini? Kama wanaamini mambo yao ni safi na hakuna namna yoyote ya longolongo, wanapaswa kufurahi wananchi watakapokuwa wanafurahi baada ya matokeo wakishangalia kazi nzuri ya Tume.

Hii ya kutaka kupindisha mambo ndiyo inayoongeza hofu kwa watu hata kama hakuna kibaya. Waache watu wanaopenda kubaki wabaki na wanaotaka kuondoka waondoke ila sheria zifuatwe.

"Wanaojitambua"
 
Mbona unachanganya mambo.
Kulnda kura kwa kukaa mita 200 sio kuleta fujo. Yeye kasema anataka wana ukawa wasilete fujo lakini sio kutokulinda kura.
Viva ukawa viva.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom