Recent content by bukima

  1. bukima

    JamiiForums Tanzania Familia ya Lissu yagoma ombi la Serikali, yasema hawataomba msaada huo wenye masharti

    Rrondo sijui kama we yangekutokea haya ungekuwa na uwezo wa kusema mawazo yako hayo ndugu Leo liko kwa mwingine we unaona ni siasa sijui bahati mbaya liko kwako hutoomba uchunguzi ufanywe?
  2. bukima

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Askofu Gwajima lavunjwa

    Picha pls Sent using Jamii Forums mobile app
  3. bukima

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuishio Dar es Salaam acheni tu wenzetu wa Mikoani watudharau kwa aibu kubwa kama hii

    Kaka hapo umenena Mimi najirani YANGU hapa kila siku jioni anaogoga maji ya moto na asubuhi sasa nakuuliza huyu jamaa anatatizo gani mbona sioni sababu ya kuoga maji ya moto angali ni kijana MDOGO sana
  4. bukima

    JamiiForums Tanzania Polisi yazuia mkutano wa CUF Tanga ( Mtatiro) kwa maelekezo ya Sakaya( Lipumba)

    Jaman kufanya mkutano c shida but muhimu ni kuombeleza kwa watu tuliowapoteza, pia MTU kuondoka huwezi zuia maendeleo mengine, mungu hatusaidie tupite wakati huu mgumu
  5. bukima

    JamiiForums Tanzania Watu kama Mkuu wa Mkoa huyu ni hatari sana ukiwa unafanya nao kazi. Hawaoni hasara kukuharibia

    Kwani kuinamana kumsalimia boss wake kwa heshima kuna kosa gan? We huwezi kufanya hivo kwa boss wako, au ndo majungu
  6. bukima

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kuweza kuoana na kujenga familia

    VigeZo hivo humpati mama
  7. bukima

    JamiiForums Tanzania Nape: Sina kinyongo na uamuzi wa Rais Magufuli; Akasirishwa na aliyemtishia Bastola

    Hivi siyo live kumbe
  8. bukima

    JamiiForums Tanzania Kisiwa cha Ukara (Ukara Island)

    Nilitaka kuandika kwirugwa samahani kwetu pamenikaa sana
  9. bukima

    JamiiForums Tanzania Kisiwa cha Ukara (Ukara Island)

    Kaka huko ndo kwetu jitahidi uwe makini tu, karibu sana tu napenda wageni mje kwa wingi, ukara, uwende na kwiregi pazuri sana
  10. bukima

    JamiiForums Tanzania Gwajima: Nina mazagazaga kibao kuhusu Daudi Bashite

    Jaman hakuna mapya huko mbona kimya sana, mbarikiwe kwa neno
  11. bukima

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya Awamu ya III: RC Makonda amkabidhi majina 97 Kamishna Mkuu wa madawa ya kulevya

    Jaman VP mambo yameanza au
  12. bukima

    JamiiForums Tanzania Picha: Matumizi ya bilioni 10 kwa UDSM kama yanavyoonekana kwa sasa

    Hiki ndo kinatufanya tumpende president wetu because he is making wonderful. Mkuu kazana Kwa maendeleo yetu
  13. bukima

    JamiiForums Tanzania Makundi hatarishi kwa Uhai wa CHADEMA

    Mkuu hii imekaa njema ila kwa ushauri wakae chini watatue kero kwanza ndo waje kwa wananchi ila kama wataendelea hivi watabaki kusindikiza tu, uroho wa nadaraka ni mbaya sana
  14. bukima

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kutua Shinyanga tarehe 12/01/2017 kuongea na wananchi

    Mimi nafurahi aende maana wananchi watapta fursa ya kuuliza masuali, BT suala njaa hakuna njaa dar
Back
Top Bottom