1. Nina hakika wewe sio Mtumishi wa Umma hivyo hauna unacho kifahamu
2. Hakuna mtimishi wa umma aliepongeza kwa " dhati " hicho ulicho kiongea kwasababu watumishi wa wanahitaji nyongeza ya mshahara na si pungozo la kodi
3. Je, unajua nikiasi gani kimeongezeka katika mishahara ya wafanyakazi...
unaweza kujiandikisha zaidi ya mara 100 kama utatumia bvr tofauti tofauti kwasababu wakati wa zoezi la kujiandikisha bvr hazipo connected. ila hauwezi kujiandikisha zaidi ya mara moja katika bvr moja
Sijajua mke wangu ana matatizo gani kwani kila anapopata mimba inaharibika hii mara ya 3.
Je, nini chanzo cha hili tatizo na nini kifanyike kukabiliana na hili tatizo naombeni msaada wadau.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.