Ki ukweli mm niliona ameshakwisha maliza kila kitu lkn hapo anapotaka kumshika mkono kipofu anatafuta makubwa!ngoja tuone coz atafanya watu wa dunia nzima kuanza kumuuangalia yy na atakosa la kufanya mara ya mwisho!huku bunge chali,huku maalim seif huku ukuta khaaaaa inabidi atumie akili na cio...
Hahahahahahah!oooh kumbe ulitaka hoja nzuri kuibuliwa kweny bajeti cio???!hahahah!wabunge wa upinzani wamefungiwa kuudhuria bungeni sasa hizo hoja unataka zitolewe na nani na akiwa wap????!nadhani unatatizo kidogo!fikiria upya!
Hv ww baba yako na mama yako wanafanya kazi ofisi za ccm lumumba eeeh? Inaonekana mpka sasa chupi uliyo vaa uliletewa kweny happ birthday yako ndio maana hujijui na wala hufikirii
Yaaani mtu anaandika hoja cijui kalewa au l?namuuliza swali yeye alitaka hizo barabara ziwe na upana gan???mbili hv hizo barabara tano kwenda tano kurudi nyumba za watu wagapi wataachwa bila makazi???
dar hii hatari sasa,fikiria kama lingekuwa linendelea na safari,ilikuwa nikasheshe eti,,,!vp lkn hakuna walioathirika?mtujuze mlioko huko ua wenye habari kamili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.