Bodi ya mikopo yatangaza rasmi wameachia majina ya wanafunzi na mikopo yao.

Wale wa DSM salini sana mpate hata 0%, maana huku bei zimepandishwa kwanzia nxt semester. Hostel zimepandishwa kwa 100% zote(off na main cmps), chakula nacho hakikuachwa nyuma, kimeongezwa japo kwa kiwango kidogo but its enough to start a riot. Mgomo wa mwaka huu sipati picha
 
kuanzia jana walipotangaza cjalala niko kwenye net all the tym, mi nikafikiri computer yangu mbovu:A S 465:
 
ki mtandao bots ni watu ambao wana share vitu kwa njia ya internet katika website au chanel flan. Mfano watu wanao cheza games online wanaitwa bots

sina hakika sana kama kwenye selection zako za tcu kama hukujaza hata computer engineering!!!! Japo naiman hukuipata!!!!
 
Back
Top Bottom