Recent content by Bufu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ili kuwa approved kwenye adsense natakiwa kuwa na posts ngapi?

    Jitahidi kila menu uwe na posts zisizo pungua 5
  2. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta sound engineer

    Huwa nashindwa kuelewa ,hivi kuabudu mpaka maspika na masound ya kutosha ,kwanini?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta sound engineer

    Mimi nashangaa kwa nini suala la kumiomba Mungu linakuwa completed hivi ? Unawezaje kuweka mitambo hayo kanisani ,hivi kusemaje ukiweka midundo ya kutosha ndio inasababisha Mungu ajibu Maomba kwa haraka hivi?
  4. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faida saba za wanawake wembamba

    Halafu vicheche karibu wote ni wanawake wembamba ,wako shapu sana kimsaidia jilani
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nilipanga kusave laki 2, hatimaye nimesave laki 4 kwa mwezi. Nimefanikiwa kutumia Tsh 374,200/= kwa siku 28, ninaishi Geto.

    Mkuu unatusanganya ,hapa inategemea unaishi maeneo yapi ,basi kama ni Dar -es - salaam ,sijaona ukiandika matumizi kama maji ya kunywa kwa kutwa nzima ,kwa kawaida kwa binadamu yeyote yule lazima awe na mahitaji yasiyo ya lazima ingawa najua huwa tunatofautiana kiwango cha matumizi,mfano MTU...
  6. B

    JamiiForums Tanzania idm timeout error at 99%

    Tumia Tubemate ,haipo playstore ,download then install Sent using Jamii Forums mobile app
  7. B

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI ADSENSE ACCOUNT

    Okay ,lakini nakushauri tumia mpya ili uanze kufuatilia vizuri kwa policy zao Sent using Jamii Forums mobile app
  8. B

    JamiiForums Tanzania Matatizo yeyote kuhusu ,Android Studio na namna ya kuedit code za android karibu hapa

    Cheki hii version ya support iko poa dependencies { ... compile "com.android.support:support-v4:24.1.1" } Sent using Jamii Forums mobile app
  9. B

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI ADSENSE ACCOUNT

    Ninayo non hosted account ni mpya kabisa gharama ni 250,000/ Sent using Jamii Forums mobile app
  10. B

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuunganisha Facebook page na blog

    Rekebisha muda kwenye computer yako Sent using Jamii Forums mobile app
  11. B

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuinstall printer ya canon image runner 2520

    Mwenye hili tatizo aje ibox tufanye kaz ,free of charge Sent using Jamii Forums mobile app
  12. B

    JamiiForums Tanzania msaada: pc imezima ghafla

    Jaribu kutoa HHD na kupigia window kwenye PC nyingine then iludishie kwenye hiyo PC uone kama itadisplay. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. B

    JamiiForums Tanzania Matatizo yeyote kuhusu ,Android Studio na namna ya kuedit code za android karibu hapa

    Hapa nazungumzia android studio kama programming language ,sizungumzii android studio la hardware ,kama ukiwa na tatizo linaloendana na namna ya kutumia android studio software ,pia namna ya kuimport codes kwenye android studio. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. B

    JamiiForums Tanzania Sioni umuhimu wala nguvu ya rais ktk ziara zake sasa!

    Mimi sio mgeni ,ila ziala za Rais zinaumuhimu mkubwa kwa ajili ya kuamsha ari ya watu kufanya kazi na uwajibikaji mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. B

    JamiiForums Tanzania Matatizo yeyote kuhusu ,Android Studio na namna ya kuedit code za android karibu hapa

    Wadau nakaribisha tatizo lolote linalotoka kwenye android studio na namna ya kuedit codes za android kwa kutumia software hii,karibu hapa tushare pamoja. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom