Matatizo yeyote kuhusu ,Android Studio na namna ya kuedit code za android karibu hapa

Mkuu simu yangu ina international memory 8GB vipi kuna uwezekano wa kuongeza kidogo ufike 16GB?

Driver using BMW X6
 
Hapa nazungumzia android studio kama programming language ,sizungumzii android studio la hardware ,kama ukiwa na tatizo linaloendana na namna ya kutumia android studio software ,pia namna ya kuimport codes kwenye android studio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna template niliipata online iko full inatoa notifications kama kawaida ila notification inaingia kmykmy yani haina mlio wala vibration.......source code nnayo ila nimechemka kuweka mlio na vibration kupitia adroidmanifest msaada wa chap?
 
Cheki hii version ya support iko poa
dependencies { ... compile "com.android.support:support-v4:24.1.1" }

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau nakaribisha tatizo lolote linalotoka kwenye android studio na namna ya kuedit codes za android kwa kutumia software hii,karibu hapa tushare pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani tz kuna developer hata mmoja..wengi ni copy and paste. ukiwapa kazi nao wabawapa wahindi .

nipe app yenye miaka 5 na ina ads ziwe admob au fb.

vijana bongo wakiacha uhuni na kujikita kwenye uelewa wanaweza saidia taifa kupitia hii talanta
 
Back
Top Bottom