Recent content by Buffet

  1. B

    Kama sauti hii ni sauti ya kweli, nimeelezwa Mpango ndio mpango mzima. Swali ni akiwa Mkristo, kwanini ni lazima awe Mkatoliki?

    Master P,ulipatia Sana kwa magufuli,nimejikuta nikiwa mfuasi wako na huwaga najitahd Sana kukuelewa na huwaga nasoma keenly and btn lines maandiko yako,barikiwa paskali
  2. B

    Vijana mliozaliwa Miaka ya 90 naomba mpite hapa Kuna ujumbe wenu

    Kwani Kati ya anaerogwa na anaeroga yupi anaepaswa kumkimbia mwenzie,pumbavu zenu mazee ndo mafisadi na mafataki,nyie mkafie tu huko mnatuchafulia dunia
  3. B

    Jeshi la wananchi laonywa lisivunje katiba ya nchi kwa kufanya majukumu yasiyo yake kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi

    Una hoja,utafika mbali,,,hii ndyo inaitwa kuwaza kwa sauti,hongera kwa kutumia vema ubongo wako,
  4. B

    Barua ya Wazi kwa Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Dkt. Dotto Mashaka Biteko: Waagizaji wa Mafuta watumie Dhahabu kununua Mafuta Nje ya Nchi

    Tunahitaj mawazo Kama haya,siyo zile kauli na hashtag ya mama et mkalitizame na hili wakati uchumi unapukutika
  5. B

    Kulikuwa na haja gani Putin kuwaua wale marubani na muhudumu wa Ndege badala ya Prigozhin pekee yake?

    Halaf,kwny uwanja wa Vita module inasema torturing is inevitable once the phenomenon is alarming
  6. B

    Hongera na pole Balozi Siwa. Je, utaiweza TISS au TISS itakuweza?

    I got u,unamaanisha boss wa tiss humuwajibishi kwa majungu au kukataa ujinga wa kipumbavu wa wenye mamlaka,awajibishwe akizingua haswa,na siyo akiwajibishwa apewe ubalozi,mkuu wa idara akizingua unakula kichwa,,,,,!!assalam alleykum
  7. B

    Rais Samia aitumie Simba Day kutuambia kwanini alisaini Mkataba mbovu wa Bandari

    Kugusa bandari za Tanganyika pekee na zile za Zanzibar haziguswi kwny huu mkataba,viongoz na wewe mwenyewe hamuoni kuwa huo Ni ubov Tisha wa mkataba??
  8. B

    IGA siyo kwa mawakili wanaogonga mikataba ya boda boda

    Mamaangu anahusikaje hapa ukizingatia Hana hata account jf???au unataka Leo nikalale kwny kitanda Cha baba yako halaf asbh unione naingia bafuni nikiwa nimefunga khanga ya mamaako kiunoni????acha ujinga kenge wewe
  9. B

    IGA siyo kwa mawakili wanaogonga mikataba ya boda boda

    Na muda alishatoa hukum kuwa Tanganyika ilitaka kuporwa,kitaumana wakiforce,hili Jambo limewagawa mno wananchi,
  10. B

    Uhusiano kati ya suala la DPW, kutukanwa Rais na ugumu wa maisha

    Je,unadhani wanaomtetea rais ktk hili hawasukumwi na njaa zao na kujipendekeza kwao??je unadhani wanamtetea rais kwa dhati au maisha magum na ukosef wa ajira vinawasukuma kiasi Cha kutaka dhambi itetewe na itakaswe hadharani??unadhan Ni wazalendo wa kweli au tayari wanapanga namna ya kujiingiza...
  11. B

    Rais Samia ana kazi ngumu kwa sasa

    Kuteseka labor Ward siyo sabab ya kutuendesha endesha Kama mizoga,hapa hakwamishwi na mtu,anajikwamisha mwenyewe,na kuhusu bandari akiforce vinaenda kuumana,halaf tusiache mambo ya hovyo yapite bila kuhoj et kisa yanatendwa na mwanamke,hii Ni nchi siyo familia ya mtu
  12. B

    IGA siyo kwa mawakili wanaogonga mikataba ya boda boda

    Wewe nae unaonekana Kama tapeli alozoea kugonga hela za kuuza boda boda bila hata mikataba au makubaliano,international exposure ikikosekana kwa mtu ndo itapelekea asiwe na capability ya kurise hoja muhimu Kama ukomo wa mkataba???mnazidisha promo kuliko hata utendaji wake,vijana tumekubaliana...
  13. B

    Mbezi Beach wamekosaje lami? Mbona Mbweni, Manzese na Yombo kuna lami?

    Mbezi beach hakuna lami wakati nyamalapa,luguru,mwaumisisi,kidulya Hadi sapiwi ni lami???huu Ni utani aiseee
  14. B

    Kama dhana ya Time travel ingekuwa kweli, na ukapata nafasi ya kurudi nyuma ya muda ungemuonya au kumshauri nini (wewe-mdogo) kwa kile unachokiishi?

    Ingetokea nimesafiri nyuma ya muda na kukutana na Mimi mdogo ningemshauri asioe,tunakaa na mi mwanamke kumbe inatalaka tayari bila mume kujua,mm lakwangu nimeligundu,na nimeificha halijui,haya makitu hayajui nn yanahtaji in life,wanaume stukeni,wake zetu wanatalaka mkononi
Back
Top Bottom