Recent content by Bufa

  1. Bufa

    JamiiForums Tanzania Familia ya Urassa yakataa ukoo wa Kweka kufika nyumbani kwao wakati wa mazishi

    Kama ana uchungu sana asingejenga kwenye kiwanja cha mwanamke. Mali, mapenzi haviwezi kuwa na thamani sawa na uhai wa mtu. Ni mtu mpumbavu tu anaweza vipa thamani sawa mali na uhai wa mtu. Uhai hauna spea.
  2. Bufa

    JamiiForums Tanzania Watu wengi katika mitaa wanajifanya vichaa! Vichaa halisi ni wachache sana, wengi wanajifanya.

    Bongo mnaamini vichaa wote ni usalama. Hii nchi raia, usalama, na vichaa wenyewe wote hawana tofauti.
  3. Bufa

    JamiiForums Tanzania Familia ya Urassa yakataa ukoo wa Kweka kufika nyumbani kwao wakati wa mazishi

    Yani alijua afu yeye ndo akaamua kuua bila kutoa taarifa popote? Sheria haitambui hilo, ataishia ndani kwa ujinga wake.
  4. Bufa

    JamiiForums Tanzania Samia ni 'head of state' peke yake aliyeenda Zimbabwe kuhani msiba wa Wicknell Chivayo.

    Eda juu ya eda. Lazima aende
  5. Bufa

    JamiiForums Tanzania SIMANZI MOROGORO: Ajali mbili za usiku zasababisha vifo vya watu 32 na majeruhi 37

    Hiyo ya polisi nina uhakika polisi ndo wenye makosa. Wote wapumzike kwa amani, na majeruhi speedy recovery.
  6. Bufa

    JamiiForums Tanzania SIMANZI MOROGORO: Ajali mbili za usiku zasababisha vifo vya watu 32 na majeruhi 37

    Misemo ya kijinga hii.
  7. Bufa

    JamiiForums Tanzania Familia ya Urassa yakataa ukoo wa Kweka kufika nyumbani kwao wakati wa mazishi

    Sababu ya kajumba ambako kasaidiana kujenga kwenye kiwanja cha mwanamke ndo atoe uhai? Akili zenu zina hitilafu.
  8. Bufa

    JamiiForums Tanzania Familia ya Urassa yakataa ukoo wa Kweka kufika nyumbani kwao wakati wa mazishi

    Hakuna sababu yeyote ile inayohalalisha kumtoa mtu uhai. Huyo kweka ni mpumbavu sawa na wanaomtetea.
  9. Bufa

    JamiiForums Tanzania Ewe mwanaume usikubali kuendeshwa na mwanamke.

    Victim blaming is insane bongo. Fala kweka anatetewa kuliko mtu aliyetolewa uhai, as if uhai una replacement. Kweka angekua anapenda sana mali zake asingesaidiana kujenga kwenye kiwanja cha mwanamke. Wadada wabongo kazi mnayo, hawa jamaa wanawatoa roho muda wowote wanaona sifa. Tragic.
  10. Bufa

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

    Hakuna sababu yeyote ile inayohalalisha kumtoa mtu uhai. Huyo kweka ni mpumbavu sawa na wanaomtetea.
  11. Bufa

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof. Kabudi: Kiongozi akichaguliwa huwezi kumwita Haramu, Tuheshimiane

    Analiwa kichwa soon.
  12. Bufa

    JamiiForums Tanzania Hata ingekuwa mimi, niuze madawa ya kulevya au nigeuzwe nyuma, au nitoe kafara au nijidhalilishe kwa uchawa, halafu leo uje utake Mali zangu kirahisi

    Nani ana muda wa kusoma ngonjera yote hiyo? Kama mali ya mtu haichezewi, basi yule dada alikuwa sahihi kumuondoa huyo jamaa kwenye hati ya nyumba, kama kiwanja na nyumba alivijenga yeye mwenyewe. Hakuna kitu kinachohalalisha kuua mtu iwe ni mali, mapenzi au chochote. Mnaweza kuachana...
Back
Top Bottom