Recent content by budaaa

  1. budaaa

    JamiiForums Rombo: Viongozi wa Kanisa Katoliki kufunga siku 9 kuomba Mungu aponye jamii na ulevi

    itakuja itokee hawa wanaoitwa viongozi wa dini wakajitenga na unafiki
  2. budaaa

    JamiiForums Jeshi la Algeria laomba rais Bouteflika kupumzishwa

    mbona nae ni mzee pia
  3. budaaa

    JamiiForums Boko Haram waua Wanajeshi 23 wa taifa la Chad

    sijui ni kwa namna gani wameshindwa kuliangamiza kundi hili basi acha liwaangamize wao
  4. budaaa

    JamiiForums CHADEMA: Rais kasaini sheria mpya ya siasa na Tanzania inaenda kuwa Rwanda rasmi, ndio maana Polepole anasema vyama vingi havina maana CCM kinatosha

    acha ipite tu maana nchi ni shina vyama ni matawi tu tawi moja likikatwa jingine halipaswi kufurahia maana shida ya kuni ipo palepale hata kisiki hakiko salama
  5. budaaa

    JamiiForums Mambosasa ajibu maswali ya Rais Magufuli kuhusu kutekwa Mo Dewji

    wangezungumzia pia na ubora wa zile picha za cctv camera
  6. budaaa

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Mume amjeruhi mkewe baada ya kupika chapati 8 na yeye alitaka 20

    kama chapati zenyewe ndohizo acha apigwe tu
  7. budaaa

    JamiiForums Wapinzani wakuu wa rais Comoro wazuwiwa kugombea urais

    ndoraha ya siasa za kiafrika
Back
Top Bottom