Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,427
Wapiganaji wa Boko Haram wamefanya mauaji hayo muda wa usiku, mauaji yanayotajwa kuwa makubwa zaidi kwa Wanajeshi wa Chad
Boko Haram wamekuwa kwenye harakati za kujitenga na taifa la Nigeria ili kuanzisha utawala wao
Kwa muongo mmoja wamefanya mashambulio mbalimbali na kwa miaka ya karibuni wameshambulia hata nchi za jirani na Nigeria(Chad, Cameroon na Niger)
Takwimu zinaonesha Boko Haram wameua watu zaidi ya 30,000 na kusababisha watu zaidi ya milioni 2 wayakimbie makazi yao
======
Boko Haram militants have killed at least 23 Chadian soldiers overnight, Chadian security sources say, in what appeared to be the deadliest such attack inside Chad by the Islamist insurgents.
Boko Haram has been fighting for a decade to carve an Islamist caliphate out of northeast Nigeria, and has carried out regular raids over loosely guarded borders into neighbouring Chad, Niger and Cameroon.
Friday's attack occurred in the town of Dangdala, near the banks of Lake Chad, two security sources told Reuters.
One of them added that the assailants were believed to have crossed the frontier from Niger before attacking Chadian soldiers.
Chadian soldiers are part of a US-trained West African task force deployed to counter Boko Haram. The violence over the past decade has killed more than 30,000 people and forced about 2 million to leave their homes.
News.com.au