Ukiwa mshamba na mawazo yako yanakuwa ya kishamba kama haya.
Na hao wageni wanaoishi hapo Dar na kufanya biashara ndogo ndogo utasema nini?
Ni bora huyo kijana alikuwa anafanya kazi halali kuliko hao mafisadi hapo Dar ambao wanaiba hata uji wa mgonjwa.
Ulitaka huyo kijana afanye nini SA...
Mkuu,
Acheni hizi tabia za kusingizia watu kila siku. Umeandika wamehongwa milioni 300 ili Lowassa awe mshindi.
Lowassa hajashinda unaanza kusema kaangukia pua. Ogepeni hata Mungu wenu.
Zito naye hajashinda, mmeumbuka.
Umeambiwa kufikia taree 30/06/2015
Fomu hizi zitakuwa kwenyetovuti ya chama ndani ya muda mfupi ujao ili kila mtanzaina aone. Kila Kiongoziwa Chama ambaye Miiko ya Uongozi inamtaja anapaswa kuwa amejaza fomu hizi nakuziwasilisha kwa Katibu wa Kamati ya Uadilifu katika ifikapo tarehe 30...
MwanaDiwani,
Asante kwa taaifa. Hivi utaratibu gani utatumika kwenye kura za maoni za udiwani na ubunge mwaka huu?
Ni waachama wote kama 2010 au ccm inarudi kwenye utaratibu kabla ya 2010?
Mwakyembe atajwa kashfa TRL.
Na Waandishi wetu
9th March 2015
Waziri wa uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe.
Kuna kila dalili kwamba uhamisho wa Waziri Dk. Harrison Mwakyembe kutoka Wizara ya Uchukuzi kwenda Afrika Mashariki, akibadilishana nafasi na Samuel Sitta, ni...
Mwakyembe dili yake ya bandarini na
kiwanja cha bilioni moja alichonunua Bahari beach tayari wabunge kama akina Mdee wanajua. Aliogopa kulipuliwa bungeni.
Pia kuhusika kwa marafiki zake Werema na Mwambalaswa kulimfanya awe bubu.
Mwanzoni alijaribu kushauri bunge litii amri ya mahakama.
Nimeshangaa sana kuona wale waliojitangaza sana kuwa ni wapambanaji imara wa ufisadi, ghafla kukaa kimya kama ndege aliyenyeshewa na mvua. Wamekumbwa na ugonjwa gani hawa wapambanaji wetu? Kama na wao walifaidi pesa za kwenye mifuko ya Rambo kule STANBIC basi wajiandale kunyolewa.
Kuna watu walipewa cash wakiwemo watu wa PM. Takukuru wana list ya watu wote hata wale waliolipwa nje ya nchi. Inasemekana kuna viongozi wawili wa Upinzani. Angalia hata hizo funds to various persons.
Kanunua kupitia Yono Auction Mart. Wenzake wamemfuatilia na wana data zote. Imebidi akae kimya vinginevyo ungemsikia akisema anawapeleka Jamhuri mahakamani.
Mwakyembe kanunua kiwanja cha mzungu kule Bahari beach kwa shilingi bilioni moja. Majirani kule wote wanajua na hata nyie mnaweza kwenda kuchungulia ni ploti namba 160 na 162 karibu kabisa na hoteli ya Bahari beach.
Nategemea ulipoongea naye alikuambia pia zile pesa alizochota kwenda kununua kiwanja cha bilioni moja kule bahari beach. Nenda pale karibu na Bahari beach kiwanja ploti namba 160 na 162 na waulize ni viwanja vya nani? Mwakyembe kapata wapi pesa bilioni moja kununua kiwanja? Jimbo lake zii yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.