Recent content by BUBE

  1. BUBE

    JamiiForums Tanzania Kuna haja kwa Kanisa Katoliki kuchukua Jukumu la kulinda wachungaji wake

    lakini pia, mbona wahanga wa hivi karibuni wote ni wageni -Malawi na ZAMBIA?
  2. BUBE

    JamiiForums Tanzania Makambako: Katibu wa Baraza la Walei auawa ndani ya eneo la Kanisa Katoliki, kichwa chatenganishwa na kiwiliwili

    Binafsi naona kuna shida, ama mapadri wanawindwa na watu nje ya kanisa, ama wao kwa wao, ama yumkini wanamahusiano yasiyo ya afya na baadhi ya walei, au au au!! Lakini kingine, ni kwamba mwaka huu, mapadri wawili, mmoja Dar na mwingine juzi ameuawa Iringa wote ni kutoka nje ya nchi! Je kuna nini...
  3. BUBE

    JamiiForums Tanzania Hizi kampuni za global na universities abroad wapo chini ya nani?

    MKUU HABARI - kama hutajari naomba tuwasiliane
  4. BUBE

    JamiiForums Tanzania Bulb/ mbegu za zafarani

    Naomba kujua wapi naweza kupata mbegu. Niko Mkuranga PWANI
  5. BUBE

    JamiiForums Tanzania Kompyuta Ofisi ya DPP zenye kesi za Uhujumu Uchumi zaibwa

    NA BAKAPU NA BAKAPU YENYEWE IWEKWE KWENYE CLOUD -LABDA WA-CORRUPT THE WHOLE SYSTEM IKIWEMO NA WEZI. ITASHANGAZA KAMA OFISI YA DPP HAINA CCTV CAMERA PIA
  6. BUBE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

  7. BUBE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania EXCLUSIVE UPDATES: Uchaguzi Mkuu Kenya Agosti 8, 2017

    ume haribu kura
  8. BUBE

    JamiiForums Tanzania Bloomberg: Kampuni za Uturuki na Ureno zashinda tenda ya ujenzi km 400 reli ya kati

    Good to make comparisons
  9. BUBE

    JamiiForums Tanzania GE2015 Jimbo La Bukoba mjini mmefanya makosa makubwa kumuondoa Sued Kagasheki

    Kama haya yote alikuwa anatoa kwenye mfuko wake mwenyewe, basi hafai hata kidogo. Uwepo wa viongozi wa namna hii unaifanya serikali inayokusanya kodi zetu ilale saaana na kuwafanya wachache kuiibia serikali. Kazi ya mbunge sio kugawa haya mavitu, ni kuwawakilisha raia na kuisimamia serikali...
  10. BUBE

    JamiiForums Tanzania Endelea kucheka

    witnessj - Nitaku PM inawezekana labda japo maeneo hayo sijakwenda
  11. BUBE

    JamiiForums Tanzania Endelea kucheka

    Sijui nchi gani hiyo
  12. BUBE

    JamiiForums Tanzania Tanzanians arrested in anti-terror operation in Kenya

    When will Tanzania be known as "EXPORT OF KNOWLEDGE AND SKILLS" and not perpetrator or terrorist acts. In circumstance where a person has been deported, I would have imagined that s/he will be under surveillance 24/7/
  13. BUBE

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    jamani ka-richmond kamoja tuuu. Kwa nini tusianze yale mengi na hasa la juzi hapa la excrow. Hilo tuu, kisha wakamatwe wale 11 wa mwembeyanga badala ya kumwandama mmoja tuu
  14. BUBE

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu, sijui!?

    . Kuna mengi ya kuhojiana pamoja na uwezo wetu na hasa wataalam wetu kufikiri na kutumia fedha za walipakodi vizuri
  15. BUBE

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu, sijui!?

    Ambulance za nini wakati tumesambaza pikipiki za miguu mitatu kusaidia huduma hiyo
Back
Top Bottom