Recent content by Bst1

  1. B

    Wapi kuna Barber shop nzuri Arusha mjini

    Naomba kufahamu Barber shop nzuri Arusha mjini.( Wanaozingatia usafi wa hali ya juu, wenye customer care nzuri na wanaonyoa vizuri)
  2. B

    Mkwara wa kibabe: Majasusi wa KGB walivyowafanya magaidi wa Hezbollah waliowateka diplomats wao wanne.

    Asante kwa kutuhabarisha kwa makala zako, zidi kutuelimisha.
  3. B

    Najikuta nina stress kupindukia

    Pole sana, hutokea hasa unapopitia jambo fulani gumu, nakushauri fanya yafuatayo. 1. Mtumaini Mungu hata kama kuomba inakuwa ngumu ila kiri ushindi 2. Jipe moyo kuwa utayashinda. 3. Omba ushauri kwa mtu au watu unao waamini watatunza siri. 4. Jitahidi kusamehe au kuachilia jambo ambalo liliwahi...
  4. B

    Beat my icon and desktop alignment. Show yours

    Nime search zimekuja nyingi nzuri ila sio hiyo, samahani kwa usumbufu lakini
  5. B

    Beat my icon and desktop alignment. Show yours

    Sawa asante nitakupa mrejesho
  6. B

    Beat my icon and desktop alignment. Show yours

    Sawa, huwa napita google but hii nimeipenda na sijawahi iona
  7. B

    Beat my icon and desktop alignment. Show yours

    Safi sana, hiyo background picture nitaipata wapi? ni nzuri
  8. B

    Reminder Softwares for PC

    Asante. Je kama hutumii Windows 10?
  9. B

    Reminder Softwares for PC

    Naomba kufahamu softwares za PC ambazo naweza kusave mambo mbalimbali na ikanikumbusha. Natanguliza shukrani.
  10. B

    A quick guide to retrenchment in Tanzania

    Thank you fot the good lesson
  11. B

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Asante kwa mada hii, naomba link ya Samsung galax A6. Asante
  12. B

    Samsung Galax A6 inabadilisha size ya picha yenyewe.

    Asante kwa msaada. Naweza nikawa nime clear kitu, nifanyaje kufanya irudi sawa? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. B

    Samsung Galax A6 inabadilisha size ya picha yenyewe.

    Nina changamoto kidogo, Camera ya Sumsung Galax A6 inabadilisha size ya picha yenyewe. Mfano naweza seti Megapixel 16 baada ya muda nakuta iko Megapixel 10. Hili linatatuliwaje?. Asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom